PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa jakaya anaingiaje hapo,au unaendeleza chuki alizokujaza askofu aliyesema 'mtu ukistaafu kaa mbali na serikali'!?
Jakaya ndio mastermind wa mambo yote, huyo mama ni decoy tu!! Kuhusu kublack mail serikali wamerekani hivi sasa wanafurahia kwani wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia kwa Kikwete ambae ndio mshauri mkuu wa Samia ; hivi sasa Kikwete anapata fedha nyingi kutoka marekani kupitia the GATES FOUNDATION ambao wanapenyeza $$$$$ kupitia Jakaya Kikwete foundation hivyo itakuwa rahisi sana hii serikali kuwa blackmailed kupitia kwa Jakaya Kikwete na kuweza kuchukua RARE MINERALS KUTOKA Tanzania kwa bei ya kutupa!!
Wachina waliblackmail Kikwete na ndio maana mpaka sasa nchi haijanufaika na gesi yetu kutoka kusini mwa nchi. Huyu mzee is a national disaster.
 
Jakaya ndio mastermind wa mambo yote, huyo mama ni decoy tu!! Kuhusu kublack mail serikali wamerekani hivi sasa wanafurahia kwani wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia kwa Kikwete amabae ndio mshauri mkuu wa Samia ; hivi sasa Kikwete anapata fedha nyingi kutoka marekani kupitia the GATES FOUNDATION ambao wanapenyeza $$$$$ kupitia Jakaya Kikwete foundation hivyo itakuwa rahisi sana hii serikali kuwa blackmailed kupitia kwa Jakaya Kikwete na kuweza kuchukua RARE MINERALS KUTOKA Tanzania kwa bei ya kutupa!!
Rare minerals tz ni zipi na zinapatikana wapi?
Wachina waliblackmail Kikwete na ndio maana mpaka sasa nchi haijanufaika na gesi yetu kutoka kusini mwa nchi. Huyu mzee is a national disaster.
Huu uwongo wa kijinga,muwe mnachuja mambo,gesi ya mtwara tunamiliki 50% kupitia tpdc
 
Rare minerals tz ni zipi na zinapatikana wapi?

Huu uwongo wa kijinga,muwe mnachuja mambo,gesi ya mtwara tunamiliki 50% kupitia tpdc
Kaa kimya Wananchi wanajua kuwa Kikwete alikuwa dalali wa gesi kwa Wachina na ndio maana akapitisha miswaada ya gesi under certificate of urgency mwisho mwisho wa utawala wake!! Kaa kimya usimtete huyo muuwaji! Ulizia wachina wanamiliki nini huko Kusini?
Nitakufundisha kitu, an example of a rare mineral ni lithium ambayo hutumika kutengeneza batteries; inapatikana kusini mwa Tanzania na Elon Musk is a shareholder kwenye hiyo venture na ndio sababu alitaka kuleta STARLINK Tanzania to protect his interests. Umeelewa wewe chawa wa Kikwete?
Hawa washenzi kumbe wameishauza hata URANIUM yetu ingali ardhini!!!
 
Kaa kimya Wananchi wanajua kuwa Kikwete alikuwa dalali wa gesi kwa Wachina na ndio maana akapitisha miswaada ya kesi under certificate of urgency mwisho mwisho wa utawala wake!! Kaa kimya usimtete huyo muuwaji! Ulizia wachina wanamiliki nini huko Kusini?
Nitakufundisha kitu, an example of a rare mineral ni lithium ambayo hutumika kutengeneza batteries; inapatikana kusini mwa Tanzania na Elon Musk is a shareholder kwenye hiyo venture na ndio sababu alitaka kuleta STARLINK Tanzania to protect his interests. Umeelewa wewe chawa wa Kikwete?
mkuu usitumie nyundo kuua sisimizi,

huyo unayemjibu ni kati ya wapumbavu wachache walioamua kuonesha ujinga wao hapa JF, yaani ni mchanganyiko wa mjinga na mpumbavu, imagine

natamani nielekezwe namna ya kuzuia kuona comments zake,

kwa umri wangu huu sijawahi kumsoma mtu mjinga kwenye makala yoyote hapa duniani kama huyo
 
SASA NARUDI KWENYE TUME KUTOKA KUZIMU NA MALENGO YAKE:

MOSI
, lengo kubwa la TUME hii ni kujaribu kuwazuia ICC wasiendelee na uchunguzi kwasababu ya The Complentarity Principle. Serikali inafanya hivi ikifahamu fika kwamba kuna maelfu ya ushahidi wa mauaji umepelekwa ICC na Watanganyika wakishirikiana na Wakenya na Waganda. Wanafanya hivi kama kichaka cha kumlinda SAMIA, JAKAYA na WAUAJI wengine wasipelekwe ICC.

Mpaka sasa hivi wana mpango wa kwenda ICC, ili kuwaambia wasiendelee na uchunguzi ambao Watanganyika wanaomba ufanywe bali wafuate MKATABA WA ROMA kuruhusu serikali ifanye uchunguzi kwanza kwasababu ina uwezo huo. Bahati mbaya sana, IBARA YA 17 ya MKATABA WA ROMA inasema wazi kabisa kwamba nchi mwanachama ni lazima ifanye UCHUNGUZI HURU (Independent) na USIOPENDELEA (Impartial), jambo ambalo mpaka sasa wamejitia dosari kubwa.

Stargomena Tax ni moja kati wa watuhumiwa muhimu kabisa wa mauaji haya ya Watanganyika. Yote haya yanatokea yeye alikuwa ni WAZIRI WA ULINZI. Hao wengine sintawaongelea, ili huyu Mama Tax ashaleta mgongano mkubwa wa kimaslahi na ameonesha kabisa, serikali ya Tanzania inafanya huu uchunguzi ili kuwalinda baadhi ya watu kinyume kabisa na IBARA YA 17 (2) ya MKATABA WA ROMA. Wamezichanga vibaya na tutawabagaza kweli katika hili.

PILI, hii TUME inalenga kudogosha makosa (Diminish Criminal Responsibility) na mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika. Mpaka sasa haya muaji yamefikia kiwango (Threshold) ya kuitwa UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU (Crimes Against Humanity). Ila lengo la TUME ikishirikiana na IDARA ZA USALAMA, OFISI YA MWANASHERIA MKUU, MAHAKAMA ZA TANZANIA na VYOMBO VYA HABARI wanataka kuyafanya haya makosa ya ndani (Domestic Crimes) ambapo yatashitakiwa chini ya Sheria za Tanzania, kama Kanuni ya Makosa na Adhabu (The Penal Code).

Hivyo makosa ya kimataifa, kama Uhalifu Dhidi ya Binadamu (Crimes Against Humanity) ambapo ndani yake kuna makosa kama Extermination (Mauaji ya Halaiki, Rape (Ubakaji Mkubwa na Kimkakati), Torture (Utesaji), Enforced Disapperance (Kutekwa na kupotwezwa) na Persecution of Identified Groups (Kutesa kundi fulani la watu ndani ya nchi), yatabadilishwa na makosa kama Murder (Kuua kwa kukusudia), Manslaugher (Kuua kwa kutokusudia), Gross Negligence (Uzembe uliosababisha vifo), na Abductions (Utekaji) ambayo yako chini ya sheria za Tanzania hasahasa The Penal Code.

Fahamuni, TUME itatakiwa ifanya mahojiano na viongozi wa kisiasa kama Raisi na Mawaziri, Watu wa vyombo vya dola, Wahanga na Watanzania kwa ujumla. Jambo ambalo halitawezekana kwasababu hii TUME haiwezi kumhoji RAISI, wala mtu yoyote kwa uwazi. Mpaka sasa serikali imekuwa ikitoa kauli zinazokinzana: Waandamanaji siyo watanzania, Waandamanaji walikuwa wezi, Waandamanaji Walifuata Mkumbo, Waandamanaji Walipewa Fedha, Video za vifo zimetengenezwa na akili mnemba.

Polisi wamesema wazi kabisa kwamba atakayesambaza video za namna yoyote ile atashitakiwa, hivyo hakuna Mtanganyika atakayeenda kwenye TUME kutoa ushahidi. Lakini pia VYOMBO VYA USALAMA vimekuwa vinafanya juhudi za kuficha ushahidi kwa kuua madaktari au kuwateka, na kutupa miili ya watanganyika ambayo kiuhalisia ushahidi unaonesha ni maelfu ya ndugu zetu waliouwawa na kuumizwa na Vikosi vya ulinzi na usalama vya Tanzania.

TATU, kama hili la kudogosha makosa ya jinai (Diminishing Criminal Liability) litafanikiwa, basi fahamu fika kwamba sheria za Tanzania zitachukua mkondo wake na Raisi wa Tanzania, SAMIA na Raisi Mstaafu JAKAYA hawataguswa kwasababu wana kinga ya kikatiba. Hapa napo wamejichanganya kwasababu makosa ya kimataifa hayana kinga. Unaweza ukajipa kinga nchini kwako lakini dunia ikakukamata vilevile.

Benjamini Netanyahu anaogopa hata kukanyaga Ulaya, kwasababu kuna hati ya kukamatwa imetolewa na ICC. Vladmir Putin hawezi kukanyaga Ulaya kwasababu kuna hati ya kukamatwa na ICC imetolewa dhidi yake. Hawa wawili ni viongozi wa mataifa ya kinyuklia yenye nguvu mno, lakini wanasumbuliwa, unadhani nini kitatokea kwenye kataifa masikini kama Tanzania ambako zaidi ya asilimia 40% ya bajeti yake ni misaada ???

Lakini pia wanaweza kwenda mbali na kutumia The Universal Jurisdiction, ambapo taifa lolote lile linaruhusiwa kushitaki wahalifu wa makosa ya kimataifa. Hili aliwahi kufanyiwa Raisi Mstaafu wa Chile, Dikteta Augusto Pinochet ambapo alienda Uingereza, lakini alikamatwa na mamlaka na wakataka kumpeleka Uhispania kushitakiwa.

Pinochet naye alikuwa ni kibaraka wa wazungu kama JAKAYA, alikula nao na kuwalindia maslahi lakini walimgeuka vibaya, kama ambavyo walimgeuka Mobutu na wameanza kuwageuka kina Kagame.

NNE, kuna watu wataangushiwa jumba bovu endapo mambo yatakuwa vibaya. Kina MOMBO, NKUNDA, MAFWELE, MULIRO na wengine wanaweza kutolewa kafara ili kuwalinda hawa wakubwa. Mpaka sasa hawa wafahamu kwamba wako kivyao na baya likitokea wao watakuwa wa kwanza kutoswa baharini. Hii TUME KUTOKA KUZIMU ni lazima itakuja na mapendekezo ya gheresha ya kuwaangushia jumba bovu baadhi ya maofisa, hasahasa wale wa chini wanaweza kutolewa mno kafara endapo mambo yakiwa magumu.

TANO, uteuzi wa MWENYEKITI WA TUME uko kimkakati sana. Jaji Othman Chande ni mtaalamu wa sheria za kimataifa za jinai (International Criminal Law) mwenye uzoefu wa miaka mingi kwenye mahakama za kimataifa kama ICTR-Akiwa Mwendesha Mashitaka. Hivyo amewekwa pale kusaidia kuvuruga mchakato kitaalamu kabisa. Tena ambavyo wanasheria wetu na wanaharakati wa Tanganyika walivyo watu wepesi basi wakienda kichwa-kichwa watapigwa vibaya mno.

TUME itatoa TAARIFA (Official Report) ambayo itachapishwa na kupelekwa kwenye jumuiya ya kimataifa kuonesha kwamba mengi yalikuzwa na Tanzania inachukua hatua stahiki. Japo hili nalo litabuma kwasababu wanachokifanya kina SAMIA na GENGE LAKE LA WAUAJI, kilifanywa na serikali ya Kenya mwaka 2011 wakati kumlinda UHURU KENYATTA lakini ICC wakasema kuanzisha mchakato peke yake, hata kukamata mtu haitoshi kuonesha kwamba nchi imechukua hatua.

Tena ICC mwaka 2014, kwenye kesi ya Simone Gbagbo (Mke wa Raisi Gbagbo) walisema wazi kwenye aya (Paragraph) ya 65, kwamba kesi kuwepo kwa Jaji na mtuhumiwa kushikiliwa havitoshi kusema kwamba kesi inafanyiwa uchunguzi kama masharti ya IBARA YA 17(1) ya MKATABA WA ROMA yanavyotaka. Ni lazima kuwepo na juhudi za dhahiri na endelevu, kitu ambacho ICC inakiita "The Activity Requirement".

Hivyo hii TUME KUTOKA KUZIMU inaweza kujitahidi kuwahadaa Watanganyika, ila haiwezi kuwahadaa wasomi nguli wa dunia. Huo uwezo wa kupambana na wasomi wa nje ya mipaka kwa kutumia UBONGO NA AKILI (The Battle of Wits), Tanganyika iliweza tu vipindi vya Mzee Nyerere na Mzee Mkapa. Jambo ambalo halikuwa la kawaida "An Anomaly" na itabidi lifanyiwe tafiti za kisayansi.

SITA, nchi za Magharibi zina ushahidi wa kutosha juu ya haya mauaji yanayoendelea nchini. Wanafahamu hadi MASS GRAVES zilipo, sema hawawezi kufanya chochote kwasababu wanakula na CCM. Hivyo huu ushahidi watautumia kama BLACK-MAIL CARD dhidi ya SAMIA na JAKAYA kwenye uporaji wa rasilimali za nchi. Mpaka sasa Watanganyika msijidanganye kwamba serikali hii inaweza kufanya lolote kwa maslahi yenu, ilhali iko BLACK-MAILED.

Hili la ushahidi wa muaji ya Watanganyika halina utofauti na THE EPSTEIN FILES ambazo zinatumika kufanya BLACK-MAIL kwa viongozi wa Marekani. Huyu JAKAYA aliwahi kuwa BLACK-MAILED na WACHINA na taasisi za nchi zikamlinda, sasa kipindi hiki kafanya makosa tena na bado vinamlinda huku vikiitoa kafara nchi.
===============================================================

YUGOSLAVIA, lilikuwa taifa lenye nguvu mno barani ULAYA. Shirika la kijasusi la Yugoslavia lilikuwa mwiba kwa KGB. Sera ya UJAMAA iliwaunganisha watu wa dini za Kikristo na Kiislamu. Lakini, muungano wao ulikuja kuparanganyika vibaya na kukatokea udini mkubwa na ubaguzi uliopeleka muaji ya kutisha.

Serikali nzima, wakiongozwa na Raisi Slobadan Milosevic walipelekwa kwenye mahakama ya kimataifa (The ICTY) na kudhalilishwa mno. Hata Rwanda nako, serikali nzima ya Marehemu Hyabarimana ilipelekwa mahakama ya kimataifa (The ICTR) wakiongozwa na Waziri Mkuu Jean Kambanda, huku Raisi Theodore Sindikubwabo akikimbilia Zaire kama mkimbizi.

Haya yote yanaweza kutokea Tanzania, maana mpaka sasa ishafahamika kwamba sisi hatuko tofauti na majirani zetu. Sasa endeleeni kuwatuma MASHEIKH wenu wapande mbegu za udini mkidhani mnawagawanya watanganyika, ila fahamuni fika, ninyi siyo wa kwanza kufanya hivyo duniani. YUGOSLAVIA walikuwepo Armenians ambao walihubiri udini dhidi ya Wakristo wa SERBIA. Wenyewe walidhamini na UTURUKI.

Walidhani wanawagawa watu, kumbe hata wao hawakuwa salama. Mwishowe Wakristo na Waislamu waliowahi kuishi kwa umoja kwa miaka zaidi ya 100 walichinjana kama kuku. Mkipitia The Ssrebenicza Massacre kule FORMER YUGOSLAVIA, mtaona jinsi Wakristo na Waislamu walivyochinjana kinyama kisa mambo kama haya. Wanaweza kuhisi wanawagawanya Watanganyika lakini hakuna aliye salama, siyo Mkristo wala Muislamu.

Baada ya tarehe, 29 Oktoba 2025 Tanganyika ishachafuka na kila kauli itakayotamkwa inaweza kuleta madhara makubwa na ya kutisha. Rwanda baada ya Hyabarimana kufa, siku kadhaa zilipita na wakahisi mambo yatakuwa salama kumbe kina General Paul Kagame walizichanga karata zao vibaya. Wahutu walienda kwenye Redio kuchochea muaji na serikali ikanyamaza kimya kwasababu ilikuwa mnufaika wa yale machafuko.

Yalipoanza kutokea na INTERAHAMWE kuchinja Watutsi na Wahutu, serikali ilishindwa kabisa kuwazuia na nchi nzima ikaanguka. Hivyo mpaka sasa kama mnadhani mtakuja kuwaambia hawa Masheikh na Wachungaji kwamba wanyamaze mnajidanganya, "The Cat Is Already Out of The Bag". Kwenye sayansi ya migogoro, hapa tunakoelekea ni CLIMAX/PEAK OF THE CONFLICT, na mambo yatarudi kawaida mpaka pale machafuko makubwa zaidi yatokee na pande zote mbili zipate madhara ndiyo kukaa mezani kutawezekana.
===============================================================

SIJUI KAMA NIMEELEWEKA, LAKINI TUJIPE MUDA TUTASHUHUDIA MENGI MNO.

Moderator au Maxence Melo naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari, kisomeke "Kudogosha" siyo "Kudondosha"
​
 
Andiko murwa lililojaa weledi na utaalamu. Nimeguswa zaidi na nukta yako ya UDINI. Naomba wadau wote wazingatie hili hasa moderator wa JF na wahariri wote. Tusikoleze moto wa Udini tafadhali. Hii nchi yetu sote. Tujifunze kutoka Yugoslavia !!! Majuto mjukuu !!!
 
Hapo Kwenye kutublack mail ndio pananitisha hawa CCM wako tayari kuuza nchi yote ili tu wasipekekwe huko, matokeo yake ICC watatupiga Dana Dana kiukweli tuombe Sana Haki ya ndugu zetu ipatikane walau wasife Bure, Mimi nawaombea na kizuri ni Kwamba kila ambaye hufa akipigania HAKI ya nchi yake huyo ni peponi direct. Wenzetu wanafuraha Sana huko walipo
 
mkuu usitumie nyundo kuua sisimizi,

huyo unayemjibu ni kati ya wapumbavu wachache walioamua kuonesha ujinga wao hapa JF, yaani ni mchanganyiko wa mjinga na mpumbavu, imagine

natamani nielekezwe namna ya kuzuia kuona comments zake,

kwa umri wangu huu sijawahi kumsoma mtu mjinga kwenye makala yoyote hapa duniani kama huyo
Mclick ikija profile yake we mimuignore,
 
  • Thanks
Reactions: Okk
Jakaya ndio mastermind wa mambo yote, huyo mama ni decoy tu!! Kuhusu kublack mail serikali wamerekani hivi sasa wanafurahia kwani wanaweza kufanya hivyo kwa kupitia kwa Kikwete ambae ndio mshauri mkuu wa Samia ; hivi sasa Kikwete anapata fedha nyingi kutoka marekani kupitia the GATES FOUNDATION ambao wanapenyeza $$$$$ kupitia Jakaya Kikwete foundation hivyo itakuwa rahisi sana hii serikali kuwa blackmailed kupitia kwa Jakaya Kikwete na kuweza kuchukua RARE MINERALS KUTOKA Tanzania kwa bei ya kutupa!!
Wachina waliblackmail Kikwete na ndio maana mpaka sasa nchi haijanufaika na gesi yetu kutoka kusini mwa nchi. Huyu mzee is a national disaster.
Hata bila ya Mchina kublack mail Kijwete, chini ya CCM sioni uwezekano wa rasilimali za Taifa kunufaisha wananchi, zaidi ya hao wenyewe tu….Na nina feel kuwa hawa viongozi wakubwa (vigogo) wana uraia wa nchi nyingine.
 
Hata bila ya Mchina kublack mail Kijwete, chini ya CCM sioni uwezekano wa rasilimali za Taifa kunufaisha wananchi, zaidi ya hao wenyewe tu….Na nina feel kuwa hawa viongozi wakubwa (vigogo) wana uraia wa nchi nyingine.
Kikwete hana akili ya kuwa na uraia pacha ; pengine akihama Msoga aende kwa wakwe zake Lindi!!
Samia na a familia yake wana uraia wa Oman na ndio maana akamteua ndugu yake kuwa balozi wa nchi yetu huko Oman kwa wajomba zake!!! Samia kanunua Nyumba Dubai inayotumiwa na mwanae Abdul kama ofisi ya biashara.
 
Ila katika haya yote huyu Mama ndio shida. Kutokuwa na akili ni shida sana. Kama taifa tunahasara mno kupata kiongozi kama yeye..
 
Kikwete hana akili ya kuwa na uraia pacha ; pengine akihama Msoga aende kwa wakwe zake Lindi!!
Samia na a familia yake wana uraia wa Oman na ndio maana akamteua ndugu yake kuwa balozi wa nchi yetu huko Oman kwa wajomba zake!!! Samia kanunua Nyumba Dubai inayotumiwa na mwanae kama ofisi ya biashara.
Duuuu….
 
Kwanza, hivi ni kwanini tulikubali na tunakubali taifa/nchi yetu kuwa na kiongozi Mkuu mwanamke mjinga na mpumbavu kama huyu aisee???
 
ICC huwa inakuja tu pale ambapo mamlaka za nchi zimefeli kuchunguza, kuwakamata na kuwaadhibu wahalifu, aidha kwa maksudi au kukosa uwezo. Kitaalamu tunasema "When the state authorities are UNWILLING or UNABLE to prosecute". Mazingira haya yakitokea basi fahamu fika kwamba kesi lazima ifike kule ICC, the Hague.
Duuh.... Sisi ikitoke serikali ikatoa hukumu za mchongo itakuwaje?
 
I have lived long enough to understand that: NOBODY IS UNTOUCHABLE.​
Ktk kutimiza hayo masharti uliyosema wanaweza kuunda kesi ya kanyaboya, mashtaka ya kanyaboa, na hukumu ya mchongo. Je hawwtakuwa wameukwepa mtego wa icc?
 
MOSI,Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, almaarufu kama The International Criminal Court (ICC) imeanzishwa na MKATABA WA ROMA (THE ROME STATUTE), na huwa inafanya kazi chini ya kanuni iitwayo The Complementarity Principle.

Kanuni hii (The Complentarity Principle) imetajwa kwenye aya ya kumi ya dibaji (Preamble) na Ibara ya 1 ya MKATABA WA ROMA, na inasema kwamba mahakama ya ICC siyo mbadala wa mahakama za ndani. Hivyo jukumu la kwanza kabisa la kufanya uchunguzi dhidi ya uhalifu na kuwaadhibu wahalifu ni la mamlaka za ndani ya nchi ya nchi.

ICC huwa inakuja tu pale ambapo mamlaka za nchi zimefeli kuchunguza, kuwakamata na kuwaadhibu wahalifu, aidha kwa maksudi au kukosa uwezo. Kitaalamu tunasema "When the state authorities are UNWILLING or UNABLE to prosecute". Mazingira haya yakitokea basi fahamu fika kwamba kesi lazima ifike kule ICC, the Hague.

PILI, kilichotokea nchini Tanzania, hasa Tanganyika kuanzia tarehe 29th Oktoba 2025 mpaka kufika sasa ni mauaji makubwa mno, yaliyoendeshwa kitaalamu, kwa maksudi, kupitia vyombo vya usalama, ambavyo vilikuwa vinatekeleza amri kutoka juu. Tunafahamuje kwamba ni amri kutoka juu ???

Taasisi zote za kiusalama nchini Tanzania, kupitia KATIBA (CURT 1977), Sheria ya Idara ya Usalama (TISS Act 2023), Sheria ya Jeshi la Polisi (Police and Auxiliary Act 2023), Sheria ya Ulinzi (The National Defense Act 2023) na Sheria ya Usalama (The National Security), zote zinaonesha kwamba Amiri Jeshi Mkuu (Commander In Chief) wa vikosi na majeshi yote ya usalama ni RAISI.

Majeshi hayawezi kutoka kwa wingi vile wakiwa wameshika silaha bila kupewa amri na RAISI. Hata mauaji waliyoyafanya yametekelezwa na kuwezeshwa na rasilimali za Taifa ambazo serikali ndiyo inazishikilia. Silaha, Magari, Mahitaji (mafuta, mabomu na risasi) na miuondombinu (Internet Network) iliyotumika kuviunganisha vikosi Tanzania nzima ilitolewa na serikali.

Chini ya sheria za jina za kimataifa, kuna kanuni tunaita COMMAND RESPONSIBILITY, ambayo inasema dhahiri kwamba AFISA atawajibika kwa makosa ya vikosi vilivyo chini yake. Hapa aidha kwa kutoa amri zilizowataka kuvunja sheria, haki za binadamu au uharibifu mali wakati wa oparesheni, AU kuona vikosi vyake vinapanga kuvunja sheria, haki za binadamu na uharibifu wa mali lakini hachukui hatua yoyote kuvizuia.

Tukifuata mlolongo huu, basi wahusika wa mauaji ya watanganyika ni maafisa wa KISIASA na KIJESHI ambao wako kwenye mlolongo wa kuongoza vikosi hivi. Hapa tutaanza kabisa na hawa wafuatao, ambao aidha wako kwenye amri za moja kwa moja au ni wanachama wa kamati za ulinzi na usalama :

1. Officers in charge of station (Police Force)
2. Regional Police Commissioners (Police Force)
3. District Security Officers (TISS)
4. Regional Security Officers (TISS)
5. District Commissioners (Central Government)
6. Regional Commissioners (Central Government)
7. Minister of Home Affairs (Central Government)
8. Minister of Defence (Central Government)
9. Inspector General of Police (Police Force)
10. Director of Operations (TISS)
11. Director of National Intelligence (TISS)
12. Chief of Staff of Armed Forces (TPDF)
13. Head of Special Forces Units (TPDF)
14. Director of Military Intelligence (TPDF)
15. Chief of Defence Forces (TPDF)
16. Members of the National Security Council (Central Government)
17. Security and Political Advisors to the President (Central Government)
18. The President of the United Republic of Tanzania.

Tukizingatia kilichoanza kutokea Ujerumani (Nuremberg Trials 1945-1946), Tokyo (Tokyo Trials 1946), Yugoslavia (ICTY 1993), Rwanda (ICTR 1994) na Sierra Leone (SCSL 2002), ambako yalitokea machafuko na kufanyika mauaji makubwa ya raia basi fahamu fika serikali nzima inaweza kuwekwa kikaangoni na nchi ikaingia kwenye ukurusa wa giza totoro ambalo hatujawahi kutegemea.

Wakati UHURU na RUTTO wanapelekwa ICC kwa vurugu za uchaguzi za mwaka 2007-2008, mauaji yale hayakufanywa na serikali bali watu binafsi (Non-State Actors) ndiyo maana Mzee Kibaki alibaki salama na kumaliza vizuri. Hapa Tanzania hata vyama vya siasa vya kuviangushia mpira au jumba bovu havikushiriki uchaguzi na wanasiasa wao walikuwa wameshikiliwa na vyombo vya dola.

TATU, pia kwenye jinai za kimataifa hasahasa makosa dhidi ya ubinadamu (CRIMES AGAINST HUMANITY), hasahasa kwenye makosa madogo-dogo kama Extermination, Rape, Torture and Deportation, yanapotokea fahamu fika kuna kitu kitaalamu wanaitwa WIDESPREAD & SYSTEMATIC ATTACK. Kwamba its systematic because there is a pattern of conduct as a result of certain Government Policy, And Widespread because that policy has gained traction throughout the nation.

Hapa ni kwamba haya muaji ni tofauti na aina nyingine kwasababu yametendeka kama utekelezwaji wa sera maalumu ya kiserikali, jambo ambalo hufanyika kufuata mlolongo fulani (Systematic Attacks/ Pattern Attacks). Lakini pia haya mambo yanapofanywa na serikali watu wengine ndani ya vyombo vya usalama au vyama vya siasa huanza kuyatenda kwa wingi sehemu nzima ya nchi (Widespread Attacks) wakiamini kwamba wanatekeleza sera ya nchi hata kama haijatangazwa rasmi.

Ndiyo maana ni rahisi mno kukuta Polisi wa kawaida kwenye mkutano anasema wazi kabisa kwamba tutawashughulikia, au tutawapiga kipigo cha mbwa koko. AU Maafisa usalama kote Tanzania nzima wamefanya mauaji na uhalifu wa aina moja. Wamefanya hivi kimkakati (Systematic Attack), chini ya mwamvuli wa serikali wakiamini kwamba vitendo hivyo vitaisaidia serikali (Widespread Attack).

NNE, uhalifu dhidi ya binadamu (CRIMES AGAINST HUMANITY) yanapofanywa na serikali basi fahamu fika kwamba mara nyingi lazima vikao vimekaa na kuna watu ambao walisaidia utekelezwaji wa matendo hayo kufanyika. Hii kanuni kule ICTY na ICTR waliitumia na inaitwa JOINT CRIMINAL ENTERPRISE (JCE). Mauaji ya halaiki (Massacre and Extermination) kama haya hayawezi kufanywa na mtu mmoja tu, yanahitaji watu wengi, utaalamu na rasilimali za kutosha.

Hivyo hapa watu kama JAKAYA MRISHO KIKWETE, ABDALLAH BULEMBO, RAJAB LUHWAVI, ABDUL AMEIR, ROSTAM AZIZ, ANGELLAH KIZIGHA na HAJI OMAR KEIR, hawawezi kujinasua hata kidogo, mpaka pale itakapothibitishwa vinginevyo. Kisheria kwenye JOINT CRIMINAL ENTERPRISE (JCE) tunachoangalia ni UFAHAMU WA TUKIO (The Mental Element), kwamba uko ndani ya taasisi ya kiusalama au kisiasa na ulikuwa unafahamu kwamba kuna mipango michafu inapangwa.

JCE, haishii hapo tu, bali katika ngazi ya taasisi, idara nzima inaweza kuwekwa hatiani kwasababu wafanyakazi wake walichangia uovu kutokea (Made a Singificant Contribution). Baadhi ya kombania za kijeshi (Companies), vikosi (Brigade/Regiment) na vikosi maalumu (Task Forces) zina hatia kwa kusaidia huu udhalimu. Kule Nuremberg mwaka 1945 walienda mbali na kufanya GUILTY BY ASSOCIATION, ambapo majasusi wote kutoka Idara ya The SS walishikiliwa kama watuhumiwa wa mauaji ya watu.

JCE, pia inaweza kuwanasa hata makada na majasusi wanaoeneza propaganda za muaji ya serikali au kuyadogosha huko mitandaoni. Hili linaweza kutokea endapo itathibitika walikuwa na UFAHAMU KWAMBA UOVU UNAENDELEA au unapangwa. Hili linanikumbusha kesi ya Mwanahabari wa Rwanda aitwaye HASSAN NGENZE, ambaye hali akifahamu mipango ya uuaji, na mauaji yanaendelea dhidi ya Watutsi alikuwa kinara wa kutumia magazeti yake kuchochea. Alishitakiwa na ICTR kule Arusha.

NB: Lengo zima la kuwepo kwa THE COMPLEMENTARITY PRINCIPLE kwenye MKATABA WA ROMA, ni kuhakikisha kwamba nchi inatunza uhuru wake (Sovereignty) huku inaendelea kushughulikia makosa ya kimataifa na kutoa haki kwa wahanga. Haya ni maneno ya Proffessor Sarah H.M Nouwen.

Hivyo kitendo cha SAMIA kuifikisha nchi hapa ni dhahiri anahatarisha uhuru wa nchi na usalama wake. Kesi ikifika ICC ni dhahiri nchi itakuwa uchi wa mnyama. Taasisi zote zitachunguzwa, silaha zenu, nakala za siri na mtashurutishwa kutoa ushirikiano, jambo ambalo litaleta dhihaka kwa taifa. Yote haya kisa tamaa za kikundi cha watu wachache ambao wameamua kuumiza nchi nzima kujipanya wao na familia zao.
​
=================================================================
Hii tume ijue imebeba dhima kubwa mno ya mustakabali wa taifa hili,na ijiepushe kuwa sababu ya hasira ya mara zingine za Watanzania,kinachoitwa kwa Uhuru wa tume wajue kuwa tayari wapo machoni masikioni na kwenye akili ya kila Mtanzani,je ni yaleyale maigizo ya muda wote kwa Mtanzania ama ipo dhamira ya kuponya majeraha makubwa ya ndani ya mioyo ya Watanzani ya tangu inayoitwa miaka 60 ya uhuru?Kazi kwenu mkeshe mkiomba ili muifanye kazi hiyo naiweze kuwashawishi Wtanzania japo kwa uwepo wenye dhamira ya kweli kuliponya taifa.Yangu nikiwa ziarani J'berg.
 
View attachment 3504883
Hatutasamehe wala kusahau kuhusu ajuza muuaji.

Inasikitisha kijana kapigwa risasi mguuni hawezi hata kusimama anainuliwa anatupwa kama gunia na kushambuliwa na kundi la policcm wakishirikiana na vijana wenye sare za CCM ni maajabu sasa kusema eti watu walilipwa kuandamana au walifuata mkumbo.

Kwa akilo zao wakajua kuzima internet basi dunia haitojua , huu ukurasa kibibi hatousahua maishani na Tanganyika ile walioijua kabla iliishia October 29.

Ndio najiuliza kama hawa watu wanafanyiwa hivyo wazi je akina Mdude , Polepole, Mzee Kibao walifanyiwa ukatili gani huko gizani baada ya kutekwa .

Huyu muuaji ni suala la muda atapata malipo yake na yeye.
Mtu kama uko na bunduki nzuri hapo unalaza wote shaaaa!
Ni vile tu kupata siraha ni ngumu
 
Back
Top Bottom