NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Pamoja na RitzHapa Lucha na mumewe Venus watakuja wataharisha then wakimbie maana madini ya hapa yako deep kuliko mikund yao

Lucha na Venus Star njooni mnaitwa kujibu hukuHapa Lucha na mumewe Venus watakuja wataharisha then wakimbie maana madini ya hapa yako deep kuliko mikundu yao
Tunakuja tunamalizia kusoma QUNUT kama tulivyoagizwa na Mufti wa Tanzania (BAKWATA)Lucha na Venus Star njooni mnaitwa kujibu huku
Mmeficha vichwa mchangani kama Mbuni wakati matako na mikundu yenu imekenua kuelekea juu!!
Hakuna madini hapo. Ni uchafu kama uchafu mwingine watu wameuzoea.Lucha na Venus Star njooni mnaitwa kujibu huku
Mmeficha vichwa mchangani kama Mbuni wakati matako na mikundu yenu imekenua kuelekea juu!!
Sawa mama SamiaHakuna madini hapo. Ni uchafu kama uchafu mwingine watu wameuzoea.
Mkuu mimni nina swali jingine ...what if hiyo kesi ikafunguliwa ICC...na vyombo vya usalama vya ndani vikafanya high interference with witnesses process kama kuwatisha...kuwahonga au hata kuwapoteza...je unahisi hiyo kesi itafanikiwa au itapotezewa kama ilivofanyika kwa kina Ruto? MALCOM LUMUMBASASA NARUDI KWENYE TUME KUTOKA KUZIMU NA MALENGO YAKE:
MOSI, lengo kubwa la TUME hii ni kujaribu kuwazuia ICC wasiendelee na uchunguzi kwasababu ya The Complentarity Principle. Serikali inafanya hivi ikifahamu fika kwamba kuna maelfu ya ushahidi wa mauaji umepelekwa ICC na Watanganyika wakishirikiana na Wakenya na Waganda. Wanafanya hivi kama kichaka cha kumlinda SAMIA, JAKAYA na WAUAJI wengine wasipelekwe ICC.
Mpaka sasa hivi wana mpango wa kwenda ICC, ili kuwaambia wasiendelee na uchunguzi ambao Watanganyika wanaomba ufanywe bali wafuate MKATABA WA ROMA kuruhusu serikali ifanye uchunguzi kwanza kwasababu ina uwezo huo. Bahati mbaya sana, IBARA YA 17 ya MKATABA WA ROMA inasema wazi kabisa kwamba nchi mwanachama ni lazima ifanye UCHUNGUZI HURU (Independent) na USIOPENDELEA (Impartial), jambo ambalo mpaka sasa wamejitia dosari kubwa.
Stargomena Tax ni moja kati wa watuhumiwa muhimu kabisa wa mauaji haya ya Watanganyika. Yote haya yanatokea yeye alikuwa ni WAZIRI WA ULINZI. Hao wengine sintawaongelea, ili huyu Mama Tax ashaleta mgongano mkubwa wa kimaslahi na ameonesha kabisa, serikali ya Tanzania inafanya huu uchunguzi ili kuwalinda baadhi ya watu kinyume kabisa na IBARA YA 17 (2) ya MKATABA WA ROMA. Wamezichanga vibaya na tutawabagaza kweli katika hili.
PILI, hii TUME inalenga kudogosha makosa (Diminish Criminal Responsibility) na mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika. Mpaka sasa haya muaji yamefikia kiwango (Threshold) ya kuitwa UHALIFU DHIDI YA UBINADAMU (Crimes Against Humanity). Ila lengo la TUME ikishirikiana na IDARA ZA USALAMA, OFISI YA MWANASHERIA MKUU, MAHAKAMA ZA TANZANIA na VYOMBO VYA HABARI wanataka kuyafanya haya makosa ya ndani (Domestic Crimes) ambapo yatashitakiwa chini ya Sheria za Tanzania, kama Kanuni ya Makosa na Adhabu (The Penal Code).
Hivyo makosa ya kimataifa, kama Uhalifu Dhidi ya Binadamu (Crimes Against Humanity) ambapo ndani yake kuna makosa kama Extermination (Mauaji ya Halaiki, Rape (Ubakaji Mkubwa na Kimkakati), Torture (Utesaji), Enforced Disapperance (Kutekwa na kupotwezwa) na Persecution of Identified Groups (Kutesa kundi fulani la watu ndani ya nchi), yatabadilishwa na makosa kama Murder (Kuua kwa kukusudia), Manslaugher (Kuua kwa kutokusudia), Gross Negligence (Uzembe uliosababisha vifo), na Abductions (Utekaji) ambayo yako chini ya sheria za Tanzania hasahasa The Penal Code.
Fahamuni, TUME itatakiwa ifanya mahojiano na viongozi wa kisiasa kama Raisi na Mawaziri, Watu wa vyombo vya dola, Wahanga na Watanzania kwa ujumla. Jambo ambalo halitawezekana kwasababu hii TUME haiwezi kumhoji RAISI, wala mtu yoyote kwa uwazi. Mpaka sasa serikali imekuwa ikitoa kauli zinazokinzana: Waandamanaji siyo watanzania, Waandamanaji walikuwa wezi, Waandamanaji Walifuata Mkumbo, Waandamanaji Walipewa Fedha, Video za vifo zimetengenezwa na akili mnemba.
Polisi wamesema wazi kabisa kwamba atakayesambaza video za namna yoyote ile atashitakiwa, hivyo hakuna Mtanganyika atakayeenda kwenye TUME kutoa ushahidi. Lakini pia VYOMBO VYA USALAMA vimekuwa vinafanya juhudi za kuficha ushahidi kwa kuua madaktari au kuwateka, na kutupa miili ya watanganyika ambayo kiuhalisia ushahidi unaonesha ni maelfu ya ndugu zetu waliouwawa na kuumizwa na Vikosi vya ulinzi na usalama vya Tanzania.
TATU, kama hili la kudogosha makosa ya jinai (Diminishing Criminal Liability) litafanikiwa, basi fahamu fika kwamba sheria za Tanzania zitachukua mkondo wake na Raisi wa Tanzania, SAMIA na Raisi Mstaafu JAKAYA hawataguswa kwasababu wana kinga ya kikatiba. Hapa napo wamejichanganya kwasababu makosa ya kimataifa hayana kinga. Unaweza ukajipa kinga nchini kwako lakini dunia ikakukamata vilevile.
Benjamini Netanyahu anaogopa hata kukanyaga Ulaya, kwasababu kuna hati ya kukamatwa imetolewa na ICC. Vladmir Putin hawezi kukanyaga Ulaya kwasababu kuna hati ya kukamatwa na ICC imetolewa dhidi yake. Hawa wawili ni viongozi wa mataifa ya kinyuklia yenye nguvu mno, lakini wanasumbuliwa, unadhani nini kitatokea kwenye kataifa masikini kama Tanzania ambako zaidi ya asilimia 40% ya bajeti yake ni misaada ???
Lakini pia wanaweza kwenda mbali na kutumia The Universal Jurisdiction, ambapo taifa lolote lile linaruhusiwa kushitaki wahalifu wa makosa ya kimataifa. Hili aliwahi kufanyiwa Raisi Mstaafu wa Chile, Dikteta Augusto Pinochet ambapo alienda Uingereza, lakini alikamatwa na mamlaka na wakataka kumpeleka Uhispania kushitakiwa.
Pinochet naye alikuwa ni kibaraka wa wazungu kama JAKAYA, alikula nao na kuwalindia maslahi lakini walimgeuka vibaya, kama ambavyo walimgeuka Mobutu na wameanza kuwageuka kina Kagame.
NNE, kuna watu wataangushiwa jumba bovu endapo mambo yatakuwa vibaya. Kina MOMBO, NKUNDA, MAFWELE, MULIRO na wengine wanaweza kutolewa kafara ili kuwalinda hawa wakubwa. Mpaka sasa hawa wafahamu kwamba wako kivyao na baya likitokea wao watakuwa wa kwanza kutoswa baharini. Hii TUME KUTOKA KUZIMU ni lazima itakuja na mapendekezo ya gheresha ya kuwaangushia jumba bovu baadhi ya maofisa, hasahasa wale wa chini wanaweza kutolewa mno kafara endapo mambo yakiwa magumu.
TANO, uteuzi wa MWENYEKITI WA TUME uko kimkakati sana. Jaji Othman Chande ni mtaalamu wa sheria za kimataifa za jinai (International Criminal Law) mwenye uzoefu wa miaka mingi kwenye mahakama za kimataifa kama ICTR-Akiwa Mwendesha Mashitaka. Hivyo amewekwa pale kusaidia kuvuruga mchakato kitaalamu kabisa. Tena ambavyo wanasheria wetu na wanaharakati wa Tanganyika walivyo watu wepesi basi wakienda kichwa-kichwa watapigwa vibaya mno.
TUME itatoa TAARIFA (Official Report) ambayo itachapishwa na kupelekwa kwenye jumuiya ya kimataifa kuonesha kwamba mengi yalikuzwa na Tanzania inachukua hatua stahiki. Japo hili nalo litabuma kwasababu wanachokifanya kina SAMIA na GENGE LAKE LA WAUAJI, kilifanywa na serikali ya Kenya mwaka 2011 wakati kumlinda UHURU KENYATTA lakini ICC wakasema kuanzisha mchakato peke yake, hata kukamata mtu haitoshi kuonesha kwamba nchi imechukua hatua.
Tena ICC mwaka 2014, kwenye kesi ya Simone Gbagbo (Mke wa Raisi Gbagbo) walisema wazi kwenye aya (Paragraph) ya 65, kwamba kesi kuwepo kwa Jaji na mtuhumiwa kushikiliwa havitoshi kusema kwamba kesi inafanyiwa uchunguzi kama masharti ya IBARA YA 17(1) ya MKATABA WA ROMA yanavyotaka. Ni lazima kuwepo na juhudi za dhahiri na endelevu, kitu ambacho ICC inakiita "The Activity Requirement".
Hivyo hii TUME KUTOKA KUZIMU inaweza kujitahidi kuwahadaa Watanganyika, ila haiwezi kuwahadaa wasomi nguli wa dunia. Huo uwezo wa kupambana na wasomi wa nje ya mipaka kwa kutumia UBONGO NA AKILI (The Battle of Wits), Tanganyika iliweza tu vipindi vya Mzee Nyerere na Mzee Mkapa. Jambo ambalo halikuwa la kawaida "An Anomaly" na itabidi lifanyiwe tafiti za kisayansi.
SITA, nchi za Magharibi zina ushahidi wa kutosha juu ya haya mauaji yanayoendelea nchini. Wanafahamu hadi MASS GRAVES zilipo, sema hawawezi kufanya chochote kwasababu wanakula na CCM. Hivyo huu ushahidi watautumia kama BLACK-MAIL CARD dhidi ya SAMIA na JAKAYA kwenye uporaji wa rasilimali za nchi. Mpaka sasa Watanganyika msijidanganye kwamba serikali hii inaweza kufanya lolote kwa maslahi yenu, ilhali iko BLACK-MAILED.
Hili la ushahidi wa muaji ya Watanganyika halina utofauti na THE EPSTEIN FILES ambazo zinatumika kufanya BLACK-MAIL kwa viongozi wa Marekani. Huyu JAKAYA aliwahi kuwa BLACK-MAILED na WACHINA na taasisi za nchi zikamlinda, sasa kipindi hiki kafanya makosa tena na bado vinamlinda huku vikiitoa kafara nchi.
===============================================================
YUGOSLAVIA, lilikuwa taifa lenye nguvu mno barani ULAYA. Shirika la kijasusi la Yugoslavia lilikuwa mwiba kwa KGB. Sera ya UJAMAA iliwaunganisha watu wa dini za Kikristo na Kiislamu. Lakini, muungano wao ulikuja kuparanganyika vibaya na kukatokea udini mkubwa na ubaguzi uliopeleka muaji ya kutisha.
Serikali nzima, wakiongozwa na Raisi Slobadan Milosevic walipelekwa kwenye mahakama ya kimataifa (The ICTY) na kudhalilishwa mno. Hata Rwanda nako, serikali nzima ya Marehemu Hyabarimana ilipelekwa mahakama ya kimataifa (The ICTR) wakiongozwa na Waziri Mkuu Jean Kambanda, huku Raisi Theodore Sindikubwabo akikimbilia Zaire kama mkimbizi.
Haya yote yanaweza kutokea Tanzania, maana mpaka sasa ishafahamika kwamba sisi hatuko tofauti na majirani zetu. Sasa endeleeni kuwatuma MASHEIKH wenu wapande mbegu za udini mkidhani mnawagawanya watanganyika, ila fahamuni fika, ninyi siyo wa kwanza kufanya hivyo duniani. YUGOSLAVIA walikuwepo Armenians ambao walihubiri udini dhidi ya Wakristo wa SERBIA. Wenyewe walidhamini na UTURUKI.
Walidhani wanawagawa watu, kumbe hata wao hawakuwa salama. Mwishowe Wakristo na Waislamu waliowahi kuishi kwa umoja kwa miaka zaidi ya 100 walichinjana kama kuku. Mkipitia The Ssrebenicza Massacre kule FORMER YUGOSLAVIA, mtaona jinsi Wakristo na Waislamu walivyochinjana kinyama kisa mambo kama haya. Wanaweza kuhisi wanawagawanya Watanganyika lakini hakuna aliye salama, siyo Mkristo wala Muislamu.
Baada ya tarehe, 29 Oktoba 2025 Tanganyika ishachafuka na kila kauli itakayotamkwa inaweza kuleta madhara makubwa na ya kutisha. Rwanda baada ya Hyabarimana kufa, siku kadhaa zilipita na wakahisi mambo yatakuwa salama kumbe kina General Paul Kagame walizichanga karata zao vibaya. Wahutu walienda kwenye Redio kuchochea muaji na serikali ikanyamaza kimya kwasababu ilikuwa mnufaika wa yale machafuko.
Yalipoanza kutokea na INTERAHAMWE kuchinja Watutsi na Wahutu, serikali ilishindwa kabisa kuwazuia na nchi nzima ikaanguka. Hivyo mpaka sasa kama mnadhani mtakuja kuwaambia hawa Masheikh na Wachungaji kwamba wanyamaze mnajidanganya, "The Cat Is Already Out of The Bag". Kwenye sayansi ya migogoro, hapa tunakoelekea ni CLIMAX/PEAK OF THE CONFLICT, na mambo yatarudi kawaida mpaka pale machafuko makubwa zaidi yatokee na pande zote mbili zipate madhara ndiyo kukaa mezani kutawezekana.

SIJUI KAMA NIMEELEWEKA, LAKINI TUJIPE MUDA TUTASHUHUDIA MENGI MNO.
Moderator au Maxence Melo naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari, kisomeke "Kudogosha" siyo "Kudondosha"
Your statement is a textbook mix of historical ignorance, racial conspiracy nonsense, and blind hero-worship of an institution that has repeatedly shown its political bias.ICC is not for the White-Man.
But it was created to keep Africans in line.
ICC Prosecutions are what protected Gen-Z in Kanye against the Macabre of Rutto.
If you think SAMIA and JAKAYA have muscles like Zelensky and Putin to oppose ICC then you're dreaming.
Your statement is a textbook mix of historical ignorance, racial conspiracy nonsense, and blind hero-worship of an institution that has repeatedly shown its political bias.
The ICC is a deeply flawed, politically compromised court that has disproportionately targeted Africans while letting major-power atrocities slide. But turning it into some noble knight that rode in to save Kenyan Gen-Z from “Rutto’s macabre” is pure myth-making. It didn’t save anyone in 2024, it couldn’t save anyone in 2008, and it never will, because it’s a paper tiger with a pronounced taste for low-hanging African fruit. Stop the hero worship; the emperor still has no clothes.
SAMIA is not UHURU.
UHURU was not a head of state back in 2008, SAMIA is a head of state.
Facts of their case differ marginally, and it is astounding to see a person making an analogy of them.
BY THE WAY, after the ICC we clearly can see RUTTO's behavior adjusted, he is a cornered CAT.
Bila ya ICC, RUTTO na Polisi wangeua maelfu ya Gen-Z, lakini kwasababu waliadabishwa hawathubutu.
NB: Lengo la ICC siyo kukufunga tu, bali kurekebisha tabia yako. SAMIA akifika tu pale wengine watabadilika.
Acha kudanganya wajinga wanaodhani wewe una akili sana kumbe ni mbabaishaji tu
Wanamtafuta? Kwani hawajui alipo? Mbona mnawatukuza sana hawa mabwege??Ndo maana Netanyahu anatafutwa au ubongo wako mgumu sana kuelewa hata vitu vidogo
Nimekupata Mkuu.
Najaribu kuvaa viatu vya moderators. Labda kutokana na mchanganyiko wa watumiaji wa mtandao huu na utofauti wa uelewa wa masuala ya kisheria pia katika kupunguza kushtua baadhi ya hao hao watumiaji wameona waboreshe kama walivyofanya.
Neno kuzimu(hell) laweza kutafsiriwa tofauti ukizingatia Uzi huu haupo kwenye lile jukwaa la masuala ya kisheria.
Hata hivyo, kwa ufafanuzi uliotoa basi tulio wengi watumiaji wa mtandao huu na ambao tumefuatilia kwa Karibu uzi huu, tutakuwa tumeelimika juu ya matumizi ya "Commission from Hell" katika viunga vya kisheria.
Kwa mara nyingine asante sana.
That’s the laziest false dichotomy I’ve heard all week.Better hero worship, than a fanatical worship of state powers.
Tuishie hapa, siku ukiona ICC wamefungua MASHTAKA ICC, basi turudi hapa upyaTeh!! Naona umezunguka sanaaa ila mwisho ukaamua kuleta ujumbe wako hapa.
Mkuu kuna swali nimeulizaTeh!! Naona umezunguka sanaaa ila mwisho ukaamua kuleta ujumbe wako hapa.
Sasa mama Samia badala achukue watu kama wewe wa kumushauli yeye kaenda kuwakuchua akina mwijaku na baba leoHaya yanayotokea Tanganyika yametokea kote duniani. Tatizo ni kwamba tuliaminishwa kwamba sisi tuna kitu cha ziada kuliko majirani kama Rwanda, Kenya, Uganda, Kongo na Burundi. Sasa hiyo ngano (A Myth) imepasuka na ukweli umefahamika kwamba kumbe tuko sawa tu. Watanganyika na kuamini kwamba wao ni wa kipekee (Exceptionalism) ndiyo imetufikisha hapa. Watawala wanafanya chochote kile halafu wanajiliwaza kwa kusema hawa watu hawawezi kufanya lolote lile. Sasa wamefanya na wataendelea kufanya.
Kiuhalisia, serikali zote huwa zinazaliwa na kuanguka. CCM haina utofauti na serikali zilizowahi kuwepo hapa duniani kwa miaka zaidi ya 6000 tangu ustaarabu uanze. Mabadiliko huwa yanakuja tu (Change Is Constant), inategemea umejipangaje kuyakabili. Tanganyika haikujipanga kuyakabili mabadiliko na yamekuja kwa ghafla. Sisi tuko kama meli ya The Titanic ambayo iliaminiwa kwamba haiwezi kuzama, ila kiko wapi sasa. Serikali ya CCM na taasisi zake ndiyo viko ukingoni, sasa itategemea wataondoka kwa busara au lazima damu imwagike.
Kule Uingereza walinyonga mfalme wao, baadaye mtoto wake katawala akaanza ujinga uleule wa baba yake watu wakamfuata na ashukuru alikuwa na akili akakubali kuachia madaraka. Kule Urusi Ramanov walitawala kwa miaka zaidi ya 300 na hawakuamini kwamba kuna siku watatoka. Mwaka 1907 warusi waliandamana na kina Ramanov wakitumia shirika lao la kijasusi (THE OKHRANA) ambalo lilikuwa ni hatari waliaua, kuteka, kufunga na kutesa maelfu ya warusi. Wakajua yameisha.
Urusi imeingia kwenye WW1 raia wake wenye kisasi wakajiunga na Ujerumani kuhujumu nchi. Waliwasaidia wajerumani kuitwanga Urusi na kuitoa kwenye vita mwaka 1917, halafu wakaikamata familia iliyohusika na kuua maelfu ya ndugu zao miaka kumi nyuma. Walikamata familia nzima ya Ramanov na kuitandika risasi bila kumsazia hata mtoto. Vladmir Lenin ambaye alitoa hiyo amri alishuhudia kaka yake akinyongwa na serikali ya Ramanov, hivyo akalipiza kisasi.
KIUFUPI, kinachotokea barani Afrika hakina utofauti ni mapinduzi yaliyowahi kutokea Ulaya mnamo mwaka 1848 (1848 Revolutions) ambapo mataifa zaidi ya 50 yalighubikwa na vuguvugu za kutaka mabadiliko. Mapinduzi yalianzia Ufaransa mwaka 1848, ambapo walipindua kabisa mfalme wao na kuanzisha Jamhuri. Ila hasira zote hizi zilianza pale kabla ya maandamano, serikali ya Ufaransa kutumia nguvu kubwa kuanza kuua watu kikatili. Baada ya watu kuona Ufaransa imewezekana kikanuka Ulaya kote. Hivyo hawa Gen-Z wanapoona kwingine imewezekana basi fahamu fika lazima waige na hapa.
Kabla ya 1848, mataifa ya Ulaya yenye mifumo ya kifalme hayakutaka kubadilika, hivyo mwaka 1814 baada ya kumuangusha Napoleon yakapanga mkakati kule VIENNA (The Vienna Congress) wakishirikiana na Kanisa Katoliki kwamba wahakikishe wanaunda mtandao wa kupinga mabadiliko kutoka kwenye THEOCRATIC ABSOLUTE MONARCHIES to REPUBLICANISM. Kinara wa huo mchezo alikuwa ni Clemens Von Metternich ambaye aliunda mtandao wake wa kijasusi Ulaya nzima, kushughulikia wanaotaka mabadiliko. HAKUWEZA...
Ila mwaka 1848, Ujasusi wake na ule wa Kanisa vilifeli vibaya mno na watu walipindua kabisa falme na kuanzisha CONSTITUTIONAL MONARCHIES. Serikali iliyopona baada ya haya machafuko ni moja tu, PRUSSIA. Ukiuliza kwanini ilipona ni kwamba walifanya mabadiliko makubwa ya katiba na kuruhusu ULIBERALI ambapo watu waliruhusiwa kuishi maisha yao watayakayo. Mataifa yaliyokomaa kama AUSTRIA ambalo ndiyo lilikuwa na nguvu ulaya ilikula kwao. Baada ya hayo mabadiliko PRUSSIA ikajikuta inapata maendeleo kuliko taifa lolote Ulaya mwisho kuunganisha mataifa zaidi ya 30 na kutengeneza taifa la Ujerumani.
Hii CCM hii na TISS+PT+TPDF walioua maelfu ya Watanganyika hawataamini kitakachotokea hapa....
Wewe unajua sana,umeongea pointSASA NARUDI KWENYE TUME KUTOKA KUZIMU NA MALENGO YAKE: