PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Forget about ICC, ile event haina quality ya kusajiliwa kwenye hiyo Mahakama kwa vile Serikali ilikuwa inatumia nguvu stahiki kutuliza riots ambazo zilianza kwa kuchoma miundombinu ya Serikali, vituo vya mafuta ya magari, mabasi ya umma na ya binafsi.

Nguvu pekee ambayo ilistahili kuyatuliza yale magenge ya wezi na waharibifu ilikuwa ni risasi za moto tu. Tear gas bombs na maji ya washawasha yasingesaidia kitu, yale hutumika kwenye issue ndogo kwenye fujo za sokoni au uwanja wa mpira.
Sema wamekula pesa zote za bajeti ya rubber bullets.
 
Bongozozo kamaliza.

WhatsApp Image 2025-11-20 at 6.45.39 AM.jpeg
 
Huu ni uzi wa mwezi. Mkuu MALCOM LUMUMBA ahsante kwa uzi ulioshiba ndondo za maana.
Kingine. Kwenye vurugu na machafuko mengi duniani huwa naona waandishi wa habari wakiripoti matukio japo inaweza isiwe live. Kweli hili la kwetu sikuona chombo chochote cha habari cha ndani au nje. Vyombo vyetu vikubwa TBC, UTV, ITV na StarTv wameshiriki nao katika kulihujumu taifa na wananchi kwa ujumla.
 
Polisi wa usalama barabarani hawawezi kushika bunduki kubwa vile (High Caliber Gun) bila kupewa kibali maalumu na mamlaka za juu. Kiutaratibu afisa mwenye dhamana ya ghala la silaha (Armoury) ndiyo anakamatwa. Hakuna mwingine.​
Haki ya kupiga kura ni msingi wa demokrasia. Kitendo cha makundi kuzuia wananchi kutekeleza haki hiyo, kuchoma miundombinu, kujeruhi raia na kuvuruga Amani ya Tanzania, ni kitendo kinachotishia msingi wa taifa.

Katika mazingira hayo:
Serikali ilikuwa inatimiza wajibu wake wa kikatiba — kulinda amani, utulivu, na uhuru wa wananchi kuchagua viongozi wao.
Waliofanya uhalifu wa kimfumo dhidi ya raia kwa nia ya kubomoa demokrasia na Katiba ndio ambao, chini ya Rome Statute, wanaweza kuingia katika uchunguzi wa ICC.

Amani ya Tanzania sio bahati ni jukumu la kikatiba, la kijamii, na la kizalendo.
 
Mkuu je ikitokea Baada ya ripoti ya tume ya ndani...Serikali ikaamua ijitoe ICC kwa kupiga kura bungeni..kama .nkurunzinza alivofanya Burundi....unahisi kutakua na namna yeyote ile ya kuwawajibisha kwa
mauaji waliyofanya?au ndo itakua imetoka hiyo
Kushughulikiwa na ICC siyo lazima uwe mwanachama. Ibara ya 13(b) ya Mkataba wa Roma unaipa mamlaka United Nation Security Council (UNSC) kupeleka kesi ICC kwa maovu yaliyofanywa na nchi zisizo wanachama wa Mkataba wa Roma. Sudan hakuwa mwanachama wa ICC lakini UNSC walipeleka kesi yake na Omar Al Bashir akaanza kuishi kama digi-digi.

Pili, kujitoa kwenye mkataba hakufuti maovu uliyoyafanya. Utatoka lakini utaendelea kushughulikiwa ipasavyo kwa makosa uliyoyatenda wakati mkataba upo. Kenya walitishia kujitoa ili kuwalinda kina Uhuru na Rutto, lakini kina Moreno Ocampo waliwaambia watatoka lakini kesi itaendelea.

Hata bila ICC kuna mbinu nyingi tu za kuwashughulikia hawa wauaji..
​
 
Adhabu kubwa inayotolewa na Mahakama ya ICC kwa wanaopatikana na hatia ni ipi?
 
Ngoja tuone mwisho wake very interesting case kuwa sehemu ya world justice history.
 
Kuna watu wanaenda kuangushiwa jumba bovu , Samia awe , makini sana,
 
Utawala unaotaka kuanguka mara nyingi viongozi huwa viziwi, wajuaji, viburi, dharau. Utawala sasa uko top point ya mwisho kuanguka maika 5 haiwezi kuisha maana wanafanya kuona kwamba wao ndo wana akili sana Karne hii unaweza kuficha nini kuna Setelait utaficha nini? ICC wana Ushaidi wa kutosha hizo picha video wanazotuma watu ni kuongezea katika ushaidi kama tu maongezi ya viongozi yanasikilizwa na wenye dunia yao kwa sasa wanafanya mambo ya Ndege mbuni kuficha kichwa tako liko nje
 
Utawala unaotaka kuanguka mara nyingi viongozi huwa viziwi, wajuaji, viburi, dharau. Utawala sasa uko top point ya mwisho kuanguka maika 5 haiwezi kuishi maana wanafanya kuona kwamba wao ndo wana akili sana Karne hii unaweza kuficha nini kuna Setelait utaficha nini? ICC wana Ushaidi wa kutosha hizo picha video wanazotuma watu ni kuongezea katika ushaidi kama tu maongezi ya viongozi yanasikilizwa na wenye dunia yao kwa sasa wanafanya mambo ya Ndege mbuni kuficha kichwa tako liko nje
Kwa hiyo ICC wana satellite video za Tanzania tu? Je za Gaza na Ukraine hawanazo??
 
Kushughulikiwa na ICC siyo lazima uwe mwanachama. Ibara ya 13(b) ya Mkataba wa Roma unaipa mamlaka United Nation Security Council (UNSC) kupeleka kesi ICC kwa maovu yaliyofanywa na nchi zisizo wanachama wa Mkataba wa Roma. Sudan hakuwa mwanachama wa ICC lakini UNSC walipeleka kesi yake na Omar Al Bashir akaanza kuishi kama digi-digi.

Pili, kujitoa kwenye mkataba hakufuti maovu uliyoyafanya. Utatoka lakini utaendelea kushughulikiwa ipasavyo kwa makosa uliyoyatenda wakati mkataba upo. Kenya walitishia kujitoa ili kuwalinda kina Uhuru na Rutto, lakini kina Moreno Ocampo waliwaambia watatoka lakini kesi itaendelea.

Hata bila ICC kuna mbinu nyingi tu za kuwashughulikia hawa wauaji..
​
Na je Uhuru na Ruto waliishia wapi baada ya kushtakiwa?? ICC is just a toothless paper tiger
 
Kwa hiyo ICC wana satellite video za Tanzania tu? Je za Gaza na Ukraine hawanazo??
ICC is not for the White-Man.

But it was created to keep Africans in line.

ICC Prosecutions are what protected Gen-Z in Kanye against the Macabre of Rutto.

If you think SAMIA and JAKAYA have muscles like Zelensky and Putin to oppose ICC then you're dreaming.
​
 
J
Kushughulikiwa na ICC siyo lazima uwe mwanachama. Ibara ya 13(b) ya Mkataba wa Roma unaipa mamlaka United Nation Security Council (UNSC) kupeleka kesi ICC kwa maovu yaliyofanywa na nchi zisizo wanachama wa Mkataba wa Roma. Sudan hakuwa mwanachama wa ICC lakini UNSC walipeleka kesi yake na Omar Al Bashir akaanza kuishi kama digi-digi.

Pili, kujitoa kwenye mkataba hakufuti maovu uliyoyafanya. Utatoka lakini utaendelea kushughulikiwa ipasavyo kwa makosa uliyoyatenda wakati mkataba upo. Kenya walitishia kujitoa ili kuwalinda kina Uhuru na Rutto, lakini kina Moreno Ocampo waliwaambia watatoka lakini kesi itaendelea.

Hata bila ICC kuna mbinu nyingi tu za kuwashughulikia hawa wauaji..
​
Je hii iliwezekana kwa Nkurunzinza?maana hatukusikia ICC wakiweka pressure ya kumkamata na kumshtaki mpka umauti ulipomkuta 2020... MALCOM LUMUMBA
 
Back
Top Bottom