Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

Hersi naye ni kama zamtanga fulani asiyejielewa, naskia siku ambayo wana sign hilo deal yeye na bumbuli wakamwita pembeni dauda

Dauda akaitikia wito kusikiliza jamaa wana kipi wanataka kushare, wakaanza kusema "ooh unajua yanga ni timu kubwa hapa bongo hakuna club ya kuifananisha nayo, inaweza kufanya chochote"
Huyu Hersi arudishwe kwao Somalia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama vipi mwamedi nae atiehela kwenye ligi aache kutumia makolo kulialia
 
Hili kosa kubwa Sana walilifanya....

Yaani Hersi anasimamia usajili Yanga... Baadaye tena anakuja kusaini kudhamini ligi kuu....

Haiingii akilini..

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mbona Abbasi Tarimba mwaka juzi alikua katika kamati ya usajili wa yanga na ilihali yeye ni General Director wa sportpesa na Sportpesa ni mdhamini wa simba,Yanga na Namungo.

Hizi chochoko zimeanzishwa kwa makusudi na watu fulani ambao wao wanaona wanaikomoa Yanga ila kumbe wanaizorotesha league tu.
 
Hersi naye ni kama zamtanga fulani asiyejielewa, naskia siku ambayo wana sign hilo deal yeye na bumbuli wakamwita pembeni dauda

Dauda akaitikia wito kusikiliza jamaa wana kipi wanataka kushare, wakaanza kusema "ooh unajua yanga ni timu kubwa hapa bongo hakuna club ya kuifananisha nayo, inaweza kufanya chochote"

Ona sasa,halafu wanataka tuamini kuwa hakuna conflict of Interest hapo. Na happ hapo Manara na yeye akaanza kutamba huku mitandaoni kuwa Simba kwa sasa iko chini ya Yanga kupitia GSM.Hata lile tukio zima la kusign ule udhamini liligubikwa na Uyanga mwanzo mwisho,sishangai Vilabu vingine vyote vilisusia kwenda kwa hii hafla.
 
Back
Top Bottom