SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyu Hersi arudishwe kwao Somalia.Hersi naye ni kama zamtanga fulani asiyejielewa, naskia siku ambayo wana sign hilo deal yeye na bumbuli wakamwita pembeni dauda
Dauda akaitikia wito kusikiliza jamaa wana kipi wanataka kushare, wakaanza kusema "ooh unajua yanga ni timu kubwa hapa bongo hakuna club ya kuifananisha nayo, inaweza kufanya chochote"
kisa gsm,?Bora wafanye hivoo mana hata Mimi nilikua natilia shaka
Mbona Abbasi Tarimba mwaka juzi alikua katika kamati ya usajili wa yanga na ilihali yeye ni General Director wa sportpesa na Sportpesa ni mdhamini wa simba,Yanga na Namungo.Hili kosa kubwa Sana walilifanya....
Yaani Hersi anasimamia usajili Yanga... Baadaye tena anakuja kusaini kudhamini ligi kuu....
Haiingii akilini..
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hersi naye ni kama zamtanga fulani asiyejielewa, naskia siku ambayo wana sign hilo deal yeye na bumbuli wakamwita pembeni dauda
Dauda akaitikia wito kusikiliza jamaa wana kipi wanataka kushare, wakaanza kusema "ooh unajua yanga ni timu kubwa hapa bongo hakuna club ya kuifananisha nayo, inaweza kufanya chochote"