Tume ya Usuluhishi ni kesi ya nyani kapewa ngedere. Wote ni Wana mtandao

Tume ya Usuluhishi ni kesi ya nyani kapewa ngedere. Wote ni Wana mtandao

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Wajumbe wote wa Tume ni waliokuwa wateule wa JK na Mama Samia. Mtuhumiwa namba Moja ni Mama Samia mwenyewe tena akiwa hana uhalali wa kuunda tume yenyewe.

Mama anawadharau sana hadi Wana CCM wenzie wallah.

Wale wanaojiita wazalendo niliwaambia mapema kuwa kura zikipigwa tu wameshindwa vita. Watateswa na kuteseka sana.

Tulime sana, tununue Dollar na dhahabu. Ile Zimbabwe imetufikia aliyokwenda Roma Mkatoliki.

Miezi 6 ijayo elfu 10 tutanunulia nyanya na kitunguu tu
 
Back
Top Bottom