A
Anonymous
Guest
Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome Postgraduate za Ualimu pale Open University ndani ya miaka 5.
Tatizo ni kwamba hakuna utaratibu wa lini tunasoma na tunasomeshwa na nani kama unavyojua, ndani ya miezi 12 ya ajira mtumishi anatakiwa athibitishwe kazini ili mambo mengine yaendelee ikiwemo kupata haki zake za kiutumishi wapo ambao wameshamaliza miezi 12 na bado hawajui hatma yao, binafsi kila nikijaribu kuulizia hakuna anayetoa jibu la uhakika kana kwamba hakukuwa na mpango kamilifu kuhusu sisi.
Najiuliza kwanini tusipewe mikataba katika Idara za professional zetu tuwe kama tumeazimwa Idara ya Elimu ili mambo yetu mengine ya kiutumishi yaendelee.
Suala hili lipo nchi nzima na tunatarajia mrejesho kutoka Tume ya Utumishi wa Walimu (Teachers Service Commission).