A
You have nailed it,akasome sasa analilia kupewa TSC No wakati yeye si mwalimu.Ngoja kwanza kijana .Uliomba kazi ya ualimu ukijua kuwa hauna mafunzo wala cheti cha ualimu.
Nina uhakika sharti mojawapo la wewe kuajiriwa ni kijiendeleza ili upate cheti cha ualimu.Sasa hapo kosa la serikali ni lipi?
Kuna wakati serikali iliajiri vijana wa form six kwa masharti kama uliyopewa.Walioshindwa kupata cheti ndani ya muda walifukuzwa kazi na tubawajua.
Kazi uliomba mwenyewe huku ukijua huna sifa ,unaambiwa uzitafute sifa unakimbolia jf.Acha hizo.
Umeongea vyema. Wazingatie masharti wakati wa kuomba ajira. Wanathibitishwaje na tune inayosimamia waalimu ilihali hawajakidhi vigezo vya taaluma ya ualimu? Wakasome kwanza au wa quitNgoja kwanza kijana .Uliomba kazi ya ualimu ukijua kuwa hauna mafunzo wala cheti cha ualimu.