Tume ya Warioba 'imewatapeli' watanzania?

Tume ya Warioba 'imewatapeli' watanzania?

linapokuja swala la matumbo, madaraka, nyadhifa, na benefits mtu anazo zifurahia (enjoy) hakuna habari ya katiba ndugu
 
wengi waliopo ccm wana akili ya kuazima, siku ile hata kale kakofia wamuazima pale pale, ccm bana. kila mtu anatumiak kama kondom
 
Jaji warioba anaakili nyingi sana, kaamua kuwaunga mkono ccm ili baadae alianzishe la serikali 3 je! ccm mtamuunga mkono nakutengua maoni yenu feki ya katiba ya chenge na Samweli Sitta?
 
Warioba kapandishwa jukwaani kuzima aibu ya kutokuwa na waziri mkuu yeyote.Ila kwa vile alivyochanwachanwa na Ma CCM akiwepo Kikwete sidhani kama Warioba akili yake ipo CCM.Huyu atasajiliwa UKAWA muda si mrefu
 
Jaji warioba anaakili nyingi sana, kaamua kuwaunga mkono ccm ili baadae alianzishe la serikali 3 je! ccm mtamuunga mkono nakutengua maoni yenu feki ya katiba ya chenge na Samweli Sitta?

Hizo sio akili nyingi,hata akilianzisha hakuna atakayemuelewa
 
huo ni ufinyu wa akili katiba ni ya serikali pamoja na utawa ukumbuke warioba ni ccm sasa usichanye habari siasa mnavamia mkiambiwa wapumbavu mnasema mmetukanwa tafsili ya upumbavu ni kutokujua kupambanua jambo
 
Akili za wabongo ni za kuhama hama sana!!!

Sikutegemea mzee Warioba aliyepigwa na watoto kwa maagizo ya wakubwa wao ambao wamepewa ukuu wa wilaya kwa kumpiga leo anakwenda watetea!!!

Akili za waafrika wengi bado zina vimelea vya utumwa!!!

Hasa Watanzania

Kuna clip moja ya Mbowe nimeiona anasema sababu nu ukosefu wa elimu. Mfumo wa elimu yetu ni ule wa zidumu fikra za mwenyekiti. Tumekuwa wanyonge mno, hatuhoji, tunahofu
 
Warioba kapandishwa jukwaani kuzima aibu ya kutokuwa na waziri mkuu yeyote.Ila kwa vile alivyochanwachanwa na Ma CCM akiwepo Kikwete sidhani kama Warioba akili yake ipo CCM.Huyu atasajiliwa UKAWA muda si mrefu
Na hii ndiyo habari ya mjini UKAWA muda so mrefu watapokea vigogo wengine ndani ya wiki hii(note my words)
 
warioba ni ccm lkn alikua neutral ktk mchakato wa katiba,suali lile kundi la 201 kina mpanju na wenziwe hivi kweli hawakututapeli?maana walikuwa wanawakilisha ccm wkt wenyewe wapo bungeni tena wengi
 
Lipumba asingehongwa sawa lakini kwa kitendo alichofanya na kutoweka nchini kukwepa sharuba kwa muda ni kitendo tosha cha kutokuwamini. Anasema dhamira yake ilisita sawa pesa alipokea za nini? Ni wale wale sisi wa TZ ndio wa kuumia tu sijui tukimbilie wapi?
Sijafurahia ujio wa LOWASA lakini kura yangu ni UKAWA!

Kwa hiyo ulikuwa unatakaje au unashauri nini? ?? Funguka kamanda. Lakini kabla ya hapo embu tueleze mbona Chadema wametutapeli kwa kutuaminisha Lowasa ni fisadi la kutupwa, mwishowake wanamshawishi aje achukue fomu ya kugombea urais na kumtupa nje Dr Slaa. Ujinga mtupu. Kweli siasa ni si asa!
Mnategemea utapeli mlioufanya utafanya wananchi watuamini tena. Wanatuona kama wajinga tu, usione watu wanakusanyika wengi kwenye mikutano mkadhani watatupigia kura. Ni ndoto ya mchana. Turudi tukajipange tena. Na ikiwezekana baada tu ya uchaguzi tumfukuze Lowasa na kundi lake na Mbowe wake na Mbatia. Turudi kwenye zama za ukweli za Dr Slaa na Lipumba basi.
 
Na hii ndiyo habari ya mjini UKAWA muda so mrefu watapokea vigogo wengine ndani ya wiki hii(note my words)

Jinsi ulivyoandika, hakika inaonesha una ukweli mwingi katika hili (we remain waiting for your words).
 
Kiongozi ni yule anayewasikiliza wale anao waongoza,sasa kama magufuli hakutuunga mkono awaombe kikwete na serikali yake wampe kura,maana ndio waliokubaliana kwenye katiba
 
Wote ni mashuhuda. Wote mnajua. Mnajua ulivyokuwa msimamo na mtifuano wakati wa mchakato wa Katiba mpya. Mnayajua,kuyahifadhi na kuyakumbuka maneno na matendo ya wanaCCM kuelekea kwa Wajumbe wa Tume ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Warioba.

Tume nayo ilijibu mapigo na kuchagiza kwa midahalo wakati na baada ya mchakato. Wananchi waliamini CCM haiwapendi wajumbe wa Tume na Tume ikatetewa hasa na UKAWA. Akina Jaji Warioba waliitwa wapinzani. Mambo yalikuwa hivyo.

Sasa,Jaji Warioba,Polepole na wajumbe wengine wanaipigania CCM. Wamesahau walivyotwezwa,kutukanwa na kukandiwa. Walikuwa wanawatapeli na kuwalaghai watanzania?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Hongera kubwa mzee Tupatupa.kwa kutuwekea wazi ukweli huu.yaani ni kwamba nchi inaendeshwa kilagahi kupindukia.haki ya Mungu ccm ni nyumba ya shetani kwa ilipo fikia.
 
Super sub;Mambo vipi!Ebu niambie, kwa nini Mzee Warioba hakuvaa vazi la chama?
Aisee hiyo nayo point,ila mie nadhani pale jukwaani alilazimishwa kupanda ili kumfunga mdomo au kuziba aibu ya kutokwepo mawaziri wakuu wastaafu.May be tetesi za mkakati wa kuhamia upande wa pili huenda zikawa zipo njiani huenda ni kweli.Lakini kusema CCM watamuelewa na serikali tatu naona atakuwa anapoteza muda.Labda kama anataka kuwachanganya hapo nitamwona Warioba genius
 
Pamoja sana mkuu! Nimekusoma
 
Hivi mmesahau kuwa anayemsindikiza kamanda mdee jimbo la kawe ni binti wa nani?
 
ccm wamchunge sana Warioba. Makongoro. Mkapa na Sitta kwani hawatabiriki hasa linapofika suala la umatemate (pesa).
Warioba alianza kuchemsha kwa kuzitaja kashfa za epa na escrow Nape akamkatiza. Na kwa jinsi alivyo na hasira za katiba mpya akiulizwa swali atafunguka sana na kusahau kumwombea Magufuli kura.
Wasomi wa aina ya Warioba hawana tofauti na wasaka tonge tuliobaki mtaani. Wabadilike.
 
Back
Top Bottom