Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Kwa sababu serikali haina dini, Na kutoa hela kuhudumia nguzo hiyo ya uislam ni kufungamana na dini hiyoKwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Kwa sababu Watanzania hawajataka iwe hivyo!Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
...
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Hamia huko.

S. Africa, Kenya, Uganda, Gambia, Nageria na India nazo pia Serikali zao hazina dini lakini pia zimeka kwenye katiba na zinatoa pesa kugharamia iweje Tanzania tunakuwa na choyo?Kwa sababu serikali haina dini, Na kutoa hela kuhudumia nguzo hiyo ya uislam ni kufungamana na dini hiyo
Nchi gani ilikosa amani shauri mahamaka ya kadhi ? toka mfano hata mmoja nikupatie shs milioni moja sasa hivi.hamia gambia tz haya mambo hatutaki kabisa tuheshimiane mwaya nchi yetu ya amani usituchulie.
Kwa nini iwe Tanzania, kuna shida gani hapo?Kwa nini isiwe Tanzania kuna shida gani hapo?
Kwa vipi toa hoja.Hamjielewi totally
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Toa hoja kwa nini isiwe Tanzania wakati sehemu ya jamii ya watanzania mojawapo inahitaji hicho kitu?Kwa nini iwe Tanzania, kuna shida gani hapo?
Na kwanini iwe Tanzania? Huu mwaka mtahama tu, nenda huko na ukiona hapakufai hamia UARABUNI kabisa!!!!!Kwa nini isiwe Tanzania?
Toa hoja.Hamia kwenye hizo nchi basi ili ufaidi uhuru wa mahakama ya kadhi!
Masuala ya nchi zingine yanatuhusu nini mbona huhoji nchi zingine kuruhusu ushoga kwanini isiwe Tanzania?Vunja hizo hoja mbili siyo kuleta jazba
-Nchi kadhaa zina dini tofauti lakini zimeiweka mahakama ya kadhi kwenye katiba
-Hizo nchi zenye dini tofauti inaendesha mahakama ya kadhi kwa gharama ya Serikali zao
Kwa nini isiwe Tanzania kuna shida gani hapo?
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Moja ya kazi ya katiba ni kutoa haki kwa raia wake wa jamii zote mahakama ya kadhi ni muhimu kwa jamii ya waislamu wa Tanzania. Hivyo mahakama ya kadhi ni muhimu kuingizwa kwenye katiba yetu.Na kwanini iwe Tanzania? Huu mwaka mtahama tu, nenda huko na ukiona hapakufai hamia UARABUNI kabisa!!!!!
Toa hoja kwa nini isiwe Tanzania wakati sehemu ya jamii ya watanzania mojawapo inahitaji hicho kitu?