Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?
Hivi ni mahakama ya kazi au kadhi ?