Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

Tume ya Warioba yazima ndoto za waislamu..

Status
Not open for further replies.
Bora yao wanywa kahawa kuliko nyie wabwia unga, ------- zenu, mnashangilia ujinga. Mbona uganda,kenya,malawi,rwanda,burundi,zambia zipo. Tatizo lenu mawazo yenu mgando yanategemea sana maelekezo ya vatican. Mbona hamlalamiki kuwepo kwa ubalozi wa vatican. Kwani vatican ni nchi. Udini utakuja waanga,iza. Mnawachukia waislamu, na wao wakianza kuwachukia kwa style ya iraq msilalamike. Wao watakuf mashahidi, ninyi makafirinsijui mtakufa nani. Wote tukishadadia udini kwa style yenu, nchi haitakalika hii. Òooooooooooh
 
Uganda,Kenya zina mahakama za Kadhi na idadi ya Waislam ipo chini kuliko Tanzania tatizo la watanzania mpaka yawakute kumbukeni maji yanapozuiliwa njia yake ya kawaida hutafuta njia nyengne ambayo kawaida huleta madhara, angalieni mbali msitizame karibu.

wachache wenye fikra MGANDO kama hawa ndo wanafanya uislam uonekane ki fikra tofauti, LEAD MORE, LEARN MORE, CHANGE THE GLOBE
 
point of collection, hapo kwenye red inapaswa iwe "Gahawa" ili kuonesha msisitizo zaidi.

Wewe ndio miongoni mwa kina mtakatifu kayumba? Tumia lugha ambayo unaijua acha kutumia lugha usiyoijua eti 'point of collection' haya endelea kuiga lugha za mabwana zako wakati hata huielewi, tumia tu kiswahili ama tueleze umemaainisha nn
 
Hii nchi ni ya watu wote

Wenye dini na wasiokua na dini,kitendo cha kikundi kimoja cha dini kudai kiwe na mahakama yake tena igharamiwe na wananchi wote[kodi] ni ukichaa

Kwanini wasianzishe wao na waigharamie wao?

Mbona mambo mengine ni rahisi sana kufikiria?
 
Wanapigania mahakama ya KADH badala ya ELIMU,Mwisho wa siku wanataka vyeo na nyazifa za juu zitolewe kiuwiani bila kujali Elimu.
 
Terroeists will never succeed

Haya mambo ya kuiga lugha za watu haya kazi sana, haya tuambie hili neno Terroeist linamaana gani? Ama unataka mabwana zako wazungu wakuongezee mshahara?
 
Bora yao wanywa kahawa kuliko nyie wabwia unga, ------- zenu, mnashangilia ujinga. Mbona uganda,kenya,malawi,rwanda,burundi,zambia zipo. Tatizo lenu mawazo yenu mgando yanategemea sana maelekezo ya vatican. Mbona hamlalamiki kuwepo kwa ubalozi wa vatican. Kwani vatican ni nchi. Udini utakuja waanga,iza. Mnawachukia waislamu, na wao wakianza kuwachukia kwa style ya iraq msilalamike. Wao watakuf mashahidi, ninyi makafirinsijui mtakufa nani. Wote tukishadadia udini kwa style yenu, nchi haitakalika hii. Òooooooooooh

Huyu nae anaweza kujidai eti ameumiza akili yake kufikiri kisha akaweka hapa haya mawazo yake

Hivi wewe nchi ikiwa inaongozwa kwa mujibu wa taratibu za dini fulani inakua sio nchi?

Waliokukaririsha kuhusu Vatcan walikuambia kuhusu Yemen?

Hivi unajua kuwa Ukraine asilimia 90 ni atheist?mbona hupigi kelele kuwapo ubalozi wao hapa?
 
The Qns ,who is terrorist. Simply, anyone dissatisfied with the sytem. Wewe mwenyewe huridhishwi na serikali iliyopo madarakani. Yo can any time become a terrorist. Mbulula wee.
 
Dogo hebu.kalale kumbuka saa10:30 alfajiri kuna azana ya kutshiaaa amani... maana hio shuka yako ndio itakuwa sanda yako...
Na hiko kitanda ndio kitakuwa jeneza lako.. kwi! kwi! kwi!
Teh,teh,teh,kwi,kwi,ninooooooma.
 
Haya mambo ya kuiga lugha za watu haya kazi sana, haya tuambie hili neno Terroeist linamaana gani? Ama unataka mabwana zako wazungu wakuongezee mshahara?

Kenya mnayoishadadia kuwa na mahakama ya kadhi, mmeona waislam wenzao magaidi walichokifanya!
Hatutaki ugaidi tz.
Hiyo stk inawatosha.
 
Bora yao wanywa kahawa kuliko nyie wabwia unga, ------- zenu, mnashangilia ujinga. Mbona uganda,kenya,malawi,rwanda,burundi,zambia zipo. Tatizo lenu mawazo yenu mgando yanategemea sana maelekezo ya vatican. Mbona hamlalamiki kuwepo kwa ubalozi wa vatican. Kwani vatican ni nchi. Udini utakuja waanga,iza. Mnawachukia waislamu, na wao wakianza kuwachukia kwa style ya iraq msilalamike. Wao watakuf mashahidi, ninyi makafirinsijui mtakufa nani. Wote tukishadadia udini kwa style yenu, nchi haitakalika hii. Òooooooooooh

Dhambi ni nini? Ni kumtendea mwenzako usichotaka ata wewe utendewe. Mkuu kama unafikiri kuua mwenzako eti ni ushujaa kwa mungu,tambua moto unakungoja kwa hamu.Yakaizali mpe kaizali na yamungu mpe mungu,Ni ndoto kaizali kuudumia mahakama ya dini.
 
Bora yao wanywa kahawa kuliko nyie wabwia unga, ------- zenu, mnashangilia ujinga. Mbona uganda,kenya,malawi,rwanda,burundi,zambia zipo. Tatizo lenu mawazo yenu mgando yanategemea sana maelekezo ya vatican. Mbona hamlalamiki kuwepo kwa ubalozi wa vatican. Kwani vatican ni nchi. Udini utakuja waanga,iza. Mnawachukia waislamu, na wao wakianza kuwachukia kwa style ya iraq msilalamike. Wao watakuf mashahidi, ninyi makafirinsijui mtakufa nani. Wote tukishadadia udini kwa style yenu, nchi haitakalika hii. Òooooooooooh

Dhambi ni nini? Ni kumtendea mwenzako usichotaka ata wewe utendewe. Mkuu kama unafikiri kuua mwenzako eti ni ushujaa kwa mungu,tambua moto unakungoja kwa hamu.Yakaizali mpe kaizali na yamungu mpe mungu,Ni ndoto kaizali kuudumia mahakama ya kidini.
 
Huna hoja,dini gani ina vitabu vitakatifu zaidi ya hamsini,kuna agano la kale na kuna jipya,kuna...kuna....
 
Wakorintho na Wagalatia wako biiiize kwa kejeli kwa kitu cha kufikirika !
Roho zinawauuuma !............mnataka kuzuia nuru ?.......wako wapi waliojaribu ?
 
Wewe ndio miongoni mwa kina mtakatifu kayumba? Tumia lugha ambayo unaijua acha kutumia lugha usiyoijua eti 'point of collection' haya endelea kuiga lugha za mabwana zako wakati hata huielewi, tumia tu kiswahili ama tueleze umemaainisha nn

hakuna kitu kizuri duniani kaa ustaarab. Typing error ni part and parcel kwenye uandishi ndo mana kukawa na reviewers ili waweze kuona maneno yalotumika. mimi kuandika "collection" badala ya "correction" sidhani kama ni swala la kukutoa wewe kwenye lugha ya kiistaarabu coz hata wewe umeelewa ilipaswa kuwa neno gani which means pamoja na typing error yangu lakini mantiki imeifikia hadhira kama ilivyopaswa.

Ukiangalia hiyo red ya mwisho kwenye andiko lako ndo utaona ni jinsi gani ulivyokosa ustaarab coz kama ulikuwa nalengo kweli la kutaka kujua juu ya neno lililotumika usingeanza na kutokwa pofu kiasi hicho.

But anyway huna tofauti na wale walioshabikia Lowasa kutopewa haki yake ya kusikilizwa b4 judgement kwa hoja ya kiutabiri kuwa "tulijua tukimuhoji ataharibu ushahidi"

Heri yako wewe mwenzangu "Mtakatifu Santa Claus"
 
32 (3) Shughuli ya uendeshaji wa jumuiya za dini itakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya Serikali
(5)Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru wa kutangaza dini kwa namna ambayo italeta uvunjifu wa amani, kujenga chuki au kuchochea vurugu na ghasia kwa madai ya kutetea imani au dini hiyo
Hivyo ni vifungu vya katiba vilivyopigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la hoja iliyokuwa ikilazimishwa na baadhi ya watu wakitaka kuanzishiwa na kuendeshewa Mahakama ya Kadhi na serikali kwa fedha za serikali. Ingawa watu mnaona ilikuwa nyepesi tu, kuna kampeni kubwa na fedha nyingi zilizotolewa kuhakikisha Katiba inaicommit serikali iendeshe mahakama ya Kadhi. Kuna maeneo ilifikia hatua watu wakahariri maoni yaliyotolewa na wananchi wa imani moja na kuyawekea maneno ya kile walichokuwa wanahitaji. Haikuwa ajabu kuona maoni ya John Raphael (sio jina halisi) yakiwa yamehaririwa na kuonyesha anadai serikali ianzishe na iendeshe Mahakama ya kadhi, lakini huyo huyo John Raphael wakati ule wa maoni hakuzungumzia kabisa suala hilo la mahakama ya kadhi, ingawa kweli alitoa maoni kwenye mambo mengine. Tunamshukuru Jaji Warioba kwa busara zake na MUNGU atamlipa kwa kuilinda nchi yake
 
Kwenye katiba mpya mahakama ya kadhi ni muhimu. Kadhi court zipo nchi nyingi ambazo kuna mchanganyiko wa dini tofauti kama vile:
1. S. Africa
2. Kenya
3. Zanzibar
4. Uganda
5. Gambia
6. Nigeria
7. India nk.
Lakini zimeingizwa kwenye katiba zao na zinahudumiwa na Serikali zao. Kwa nini isiwe Tanzania?

Hamia huko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom