Post kama hizi ndio zinazidi kuwadidimiza..hakuna jipya kiwanda cha uzushi!
Tatizo lako ni hangover baada ya kupiga kimpumuhakuna jipya kiwanda cha uzushi!
Hayo ndiyo madhara ya kikundi chao cha green guardPost kama hizi ndio zinazidi kuwadidimiza..
Sasa hivi wakileta figisu kitanuka mapemaMuhimu kuchukua tahadhari ili waitufanyie uhuni
Kwani zimeanza leo na mnavyo kosa maarifa malalamiko kila uchao lakini uchaguzi viongozi wenu wanashiriki hamuoni kama wanawazingua nyinyi wao wanakijua wanacho kifanya amkeni kwenye lindi la usingizi mzito!Post kama hizi ndio zinazidi kuwadidimiza..
Haya mambo ni wazi mtayafanya Sana (hujuma) ilamjue ndio yanazidi kuwafanya muonekane wahuni na majambazi ya demokrasia mwisho wa siku ni vurugu katika nchi. KUMBUKA HAKI HUINUA TAIFA.hakuna jipya kiwanda cha uzushi!
Aliyekupa bundle dunia inamuangalia!Tatizo lako ni hangover baada ya kupiga kimpumu
Hujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!Haya mambo ni wazi mtayafanya Sana (hujuma) ilamjue ndio yanazidi kuwafanya muonekane wahuni na majambazi ya demokrasia mwisho wa siku ni vurugu katika nchi. KUMBUKA HAKI HUINUA TAIFA.
Mijizi ina tumbo la kuhara damu ccm kwishney hayo ni maelekezo ya kibaka pole polehakuna jipya kiwanda cha uzushi!
wewe dunia inakushangaa kwa akili kisoda ndani ya upara mpyaAliyekupa bundle dunia inamuangalia!
Kwani jana hukwenda kwa mama muuza pale Temeke yombo?Aliyekupa bundle dunia inamuangalia!
Wacha kabisa kumuongelea mh Mbowe kiongozi bora wa siasa barani Afrika.Hujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
Tangu umefauru kwenye mashindano ya kukuna nazi basi imekuwa kero kwa wapinga ccmView attachment 1536532
Hana sifa ya kunywa kimpumu huyo, labda wanzuki au Tembo.Tatizo lako ni hangover baada ya kupiga kimpumu