kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Tume ndio ile ile na mshindi ni yule yule wembe ule ulekumbe mataga mlitaka wapinzani watagoma huu uchaguzi ndiyo maana mkawa mmerelax??
kugoma hatugomi wacha vyuma visuguane dunia ijionee.
Tume ndio ile ile na mshindi ni yule yule wembe ule ulekumbe mataga mlitaka wapinzani watagoma huu uchaguzi ndiyo maana mkawa mmerelax??
kugoma hatugomi wacha vyuma visuguane dunia ijionee.
Acha dhambiHujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
Kwenye ubingo wako kuna greaseAliyekupa bundle dunia inamuangalia!
Hoja nyingine wajameniHujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
@Mshana Jr unajua hiki chama CCM hivi sasa ni kama Kahaba Mzee.Post kama hizi ndio zinazidi kuwadidimiza..
Kwani zimeanza leo na mnavyo kosa maarifa malalamiko kila uchao lakini uchaguzi viongozi wenu wanashiriki hamuoni kama wanawazingua nyinyi wao wanakijua wanacho kifanya amkeni kwenye lindi la usingizi mzito!