kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Labda bora wa kung'owa vipengele vya ukomo na kuua wenzake!Wacha kabisa kumuongelea mh Mbowe kiongozi bora wa siasa barani Afrika.
Labda bora wa kung'owa vipengele vya ukomo na kuua wenzake!Wacha kabisa kumuongelea mh Mbowe kiongozi bora wa siasa barani Afrika.
Aah mchawi karambishwa dawa anabwabwaja maeneo yake ya kujidai!Kwani jana hukwenda kwa mama muuza pale Temeke Yombo?
Utajibiwa na Mmawia mwenzako!wewe dunia inakushangaa kwa akili kisoda ndani ya upara mpya
Nendeni Kenya kwenye korona mgombea wenu kaamua kuhamia Kenya!Haya mambo ni wazi mtayafanya Sana (hujuma) ilamjue ndio yanazidi kuwafanya muonekane wahuni na majambazi ya demokrasia mwisho wa siku ni vurugu katika nchi. KUMBUKA HAKI HUINUA TAIFA.
uwezo mdogoUtajibiwa na Mmawia mwenzako!
Haya!uwezo mdogo
Kwani kwa kwambia alipokea?Kwa nn aliipokea?
Kwani siyo ukweli? Kwanini mnapenda kubisha kila kitu?Post kama hizi ndio zinazidi kuwadidimiza..
Hujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
Hiki ndicho mnachokiwezaKwani zimeanza leo na mnavyo kosa maarifa malalamiko kila uchao lakini uchaguzi viongozi wenu wanashiriki hamuoni kama wanawazingua nyinyi wao wanakijua wanacho kifanya amkeni kwenye lindi la usingizi mzito!
Ni taarifa kama taarifa nyingine za kihalifu!
Unanii hau tume hii sio huru!Kwa hiyo mnafanya hujuma ili chadema wagomee uchaguzi?!
Hivi unafahamu ukweli ninini na kubisha ninini na kila kitu ninini?Kwani siyo ukweli? Kwanini mnapenda kubisha kila kitu?