Tume yaanza figisu, mgombea wa CHADEMA apewa fomu zilizopigwa mihuri

Angezionesha hizo fomu ingependeza zaidi. Wazee wa kupiga picha kweli mtoke kimya kimya kwenye tukio kama hilo!! Wewe achaaaa urongoooo!!!

Queen Esther
 
Hujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
Kumbe ndo lengo lenu kufanya vitimbi ili chadema ijitoe kushiriki uchaguzi mjitwalie ushindi wa mezani!! [emoji38][emoji38][emoji38] Imekula kwenu hiyo hajitoi mtu hapa na tutazidi kuwaambua na uhuni wenu huo.
 
Kagua fomu kabla ya kusaini kuchukua
 
Ushauri wangu wa fomu zote kukaguliwa ofisi za kanda usipuuzwe
 
Ushahidi wa hizo formu!!
 
Yaa ni vizuri mzikague kama alivyofanya Lissu pale NEC Dodoma ili mpate zilizo safi na pia msipate kisingizio chochote mara baada ya KUSHINDWA!
 
Tutegemee watu kujificha chini ya meza na wengine kuporwa fomu na majitu yaliyojipanga kushinda kwa kupitia dirishani
 
Yaa ni vizuri mzikague kama alivyofanya Lissu pale NEC Dodoma ili mpate zilizo safi na pia msipate kisingizio chochote mara baada ya KUSHINDWA!

..kukagua fomu ni jambo jema.

..lakini Tume yetu ya uchaguzi kutokuaminika siyo jambo la kuchukuliwa kimzaha-mzaha.
 
Hujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
kumbe mataga mlitaka wapinzani watagoma huu uchaguzi ndiyo maana mkawa mmerelax??

kugoma hatugomi wacha vyuma visuguane dunia ijionee.
 
hakuna jipya kiwanda cha uzushi!
Moderators kwa nini mnawalea watu kama hawa. JF sio kijiwe cha kutetea propaganda.

Hiyo habari imekamilika halafu mtu anatokea huko amevimbiwa makande anasema ni uzushi.

Acheni kulea huu ujinga.
 
Mbona yule anayegombea Mwanza Pambalu fomu zake zimegongwa muhuri na tumeona live akigongewa. Ebu tuambieni fomu ni lazima zigongwe muhuri??.
 
Moderators kwa nini mnawalea watu kama hawa. JF sio kijiwe cha kutetea propaganda.

Hiyo habari imekamilika halafu mtu anatokea huko amevimbiwa makande anasema ni uzushi.

Acheni kulea huu ujinga.
Marufuku kuwauzia viroba watoto chini ya umri wa miaka 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…