Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

Huyu ndiyo Mahela Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi unategemea nini hapo.

 
Nimeona video katika mtandao wa twitter,video inayodaiwa ni ya Msajili Msaidizi akiwa kwenye bodaboda karibu kabisa na ofis za Makao Makuu ya chama kinachotajwa kupelekewa barua hiyo.
Je video yenyewe ndiyo hii?
Your browser is not able to display this video.

Kama ndiyo hii nashukuru sana kumfahamu huyu naibu msajili, nimekuwa nikimsikia tu. Hata hivyo nina kaswali kamoja tu kwake...Ndugu Sixty Nyahoza, kwa nini hukuvaa kofia ya chuma (helmet) kama sheria ya barabarani inavyotaka? Au hiyo sheria ni kwa sisi makabwela tu?
 
Lidume hili linatumia avatar ya demu. Kuna muda huwa anajisahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salute Mingi sana........
 
Wako juu ya sheria hawa!
 
Hivi ofisi ya Msajili wa vyama siasa na tume ni ofisi moja? Sisti Nyahoza ni afisa wa tume au msajili wa vyama. Mwaka huu tutaona mengi. Au ndio ya mnara wa Babeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…