Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

Babaaako angekuwa na 10% ya akili zangu basi ZWAZWA wewe ungeishia jalalani kwenye NDOM. Pimbi wewe!

kati ya wafuasi wa Cdm wajinga na wapuuzi wa Cdm ni wewe.Huna akili bali unapost upuuzi uonekane upo hai Jf.
 


Yaani hawajui hata sheria zao wenyewe! Polepole ndiye amekuwa mkurugenzi wa tume sasa!
 
HIVI NEC NA ofisi ya msajili ni kitukimoj
 
Sawa Mkuu nashukuru... ila eti nikifungulia kwenye VLC zinasoma vizuri tu
 
Naamini unafahamu unachoki-instigate.

Unaongea kama hayawani kwa sababu unaamini wapo low minded watakaokubaliana na hoja zako
 
Naamini unafahamu unachoki-instigate.

Unaongea kama hayawani kwa sababu unaamini wapo low minded watakaokubaliana na hoja zako
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…