Tumeachana rasmi

umekosea sana,ulitakiwa kumwelezacwaziwazi kuwa una hali ngumu sana ya kipato,ili mjadala wenu ndio uwaongoze ama muachane,au mtafute njia nyingine ya kutafuta kipato
 
Haya maisha Ni ya kijinga mno ,hiyo familia inatengeneza mlolongo WA umasikini mpaka kufaaaa ....kiufupi hayo maisha watoto wanaenda kujuta kwann wamezaliwa ...
 
Haya maisha Ni ya kijinga mno ,hiyo familia inatengeneza mlolongo WA umasikini mpaka kufaaaa ....kiufupi hayo maisha watoto wanaenda kujuta kwann wamezaliwa ...
Ndio Maisha yenyewe haya haya utafanyaje on one way jamaa anafurahia kuoa on another way jamaa anajutia kuoa Ila ndio ishatokea kila Jambo lina faida na hasara Ila kikubwa akitaka pa kukojolea bila malipo anapo ananunui km wengine kikubwa Uhai
 
Kwa hio lengo kwenye maisha Ni kupata pa kukojolea ? Atakojolea Sana na kuzaa watoto Zaidi ya 7 unajua what next ....Ni kuongezeka omba omba na machokolaa mtaani ,kama anakaa chumba cha Giza mpaka sasa ,watoto 3 ,bado anafurahi kuendelea kuzalisha Bora atoke mapema mjini aende kijijini mashambani akatafute urithi WA Hao watoto ambao muda Si mrefu wanaenda kuwa machokoraaa dsm ...

Bora awaachie watoto hata mashamba kuliko kuwaachia mapumbu matupu ,maana anaenda kuzeekea Yuko nyumba ya kupanga ,Hana hata shamba la kulima mboga mboga stupid ever ....
 
umekosea sana,ulitakiwa kumwelezacwaziwazi kuwa una hali ngumu sana ya kipato,ili mjadala wenu ndio uwaongoze ama muachane,au mtafute njia nyingine ya kutafuta kipato
Najua angesema tu atavumilia. Tatizo kwa upande wangu hali iyo inanitesa sana kisaikolojia.
 
umekosea sana,ulitakiwa kumwelezacwaziwazi kuwa una hali ngumu sana ya kipato,ili mjadala wenu ndio uwaongoze ama muachane,au mtafute njia nyingine ya kutafuta kipato
Yaani alichofanya ni kukwepa majukumu, wangelijadili hili kwa mapana huenda njia ya mafanikio ingepatikana hapo

Pia huwezi jua huyo mwanamke ndio akawa njia ya mafanikio yenyewe.

Naona jamaa hajasimamia wajibu wake, kuachana kupo kwa sababu mbali mbali lakini isiwe ndani ya uwezo wako na wala bila kuwepo sababu ya msingi kama hii ya upungufu wakipato.

Sasa ukimuacha ndio maisha yame/ yatakuwa mazuri?.

Muombe radhi mrudie kisha muangalie njia ipi itafanya mpate nafuu ya kiuchumi.
 
Y
Duh,eti yeye na my wife wake
 
Masuala ya mahusiano na maisha kiujumla ni rahisi sana kuyatolea maelezo ya kitaalamu pale ambapo situation husika haijakukuta wewe.
 
Masuala ya mahusiano na maisha kiujumla ni rahisi sana kuyatolea maelezo ya kitaalamu pale ambapo situation husika haijakukuta wewe.
nakaribia miaka 40 ya kuishi hapa duniani, nimepitia hali tofautitofauti kiuchumi na kimahusiano kwa nyakati tofauti pia.

Kwa hiyo nina uzoefu wa nini naongea, wewe ni starter yaani hujajipata bado lakini naona unafeli mwanzoni kabisa kutokana na hatua unazochukua.
Kuachana kupo sana na hata mimi nimeachana, lakini itokee kwasababu ya jambo ambalo lipo nje ya uwezo na ni gumu kutatulika kwa urahisi.
Hili lako una uwezo nalo, pambana , mrudishe mpenzio katika himaya yako.

Halafu naona hili unalijutia hapo ulipo sema unakaza fuvu tu, ndio maana umelileta huku.
 
afaddhali bana hujajinyonga na wala hukumchinja mwenzio.

nafurahi mlikutana kimjinimjini mmeachana kimjini mjini,
kiroho safi kabisa bila choyo....

Kila la kheri kwenye kuimarisha uchumi....
 
Napambana sana mkuu lakini hakuna matumaini na ofcourse lazima iniume kuachana na mtu hajanikosea chochote. Najua baada ya dhiki ni faraja lakini sio wote wanaipata iyo faraja kuna ambao wanaishia kwenye dhiki zao maisha yao yote. vipi kama iyo ndio fate yangu? Ni story za waliofanikiwa baada ya kula msoto ndio zinatrend sana ndio maana imejengeka vichwani mwa watu baada ya shida lazima utakuja kufanikiwa kitu ambacho sio kweli, trust me kuna kundi kubwa zaidi linaishia kwenye msoto maisha yote ni vile tu story zao hazivutii watazamaji/wasikilizaji kwenye jamii kwaiyo hazina airtime ya kutosha. Sawa nitajifikiria mimi tu niendelee kuwa nae lakini kumbuka nae kama binadamu ana matamanio yake kama kuolewa, kuwa na familia imara (kiuchumi, kimaadili n.k) hauoni kama mimi nitakua kikwazo kwake? Nikilazimisha mahusiano wakati sina uwezo vp akipata mimba hauni kama naenda kutengeneza chain ya umasikini kwenye kizazi changu? Nimeona nimuache aende anaweza kumpata mwenye uwezo wakaishi vizuri. Acha mimi niendelee kujitafuta kama tushaandikiwa kuwa pamoja tutakutana tu uko mbele ya safari.
 
Ok sawa! Hii imeenda.... nakutakia kheri Mungu akufanyie wepesi katika utafutaji wako .
 
Natafuta Ajira pitia hapa

Ukijiamini hata bila pesa mahusiano yanawezekana,ukiwa na anayeeleweka
 
Natafuta Ajira pitia hapa

Ukijiamini hata bila pesa mahusiano yanawezekana,ukiwa na anayeeleweka
Achana na sound za motivational speakers izo wanaoongea mambo ambayo hawajayaishi au kuyafanya kwa vitendo. Confidence ina traits zake and one of them is financial wellbeing.
 
Ungemchana ukweli then ukamuacha
 
Kwa hiyo kama huna pesa huna haki ya kupenda/ndwa?

Kama ipo nafasi mrudie mwenzako,pambana akiwepo
Kususa haikusaidii kitu

Kwa sasa huna mpenzi,pesa huna unaanza kuchukua sheria mkononi sio?
Ndio
 
Daaah[emoji119][emoji119][emoji119]kumbe unaweza kuachwa coz mwenzako anakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…