Tumeachana rasmi

Sina kazi yoyote mkuu. Kama ramani inasomeka upande huo tupeane connection
 
Vipi siku ukioa halafu uchumi wako ukaporomoka je, utaamua kuachana na mkeo ili aolewe na Mwanaume mwenye hali nzuri kifedha?
 
Huyu jamaa mshamba, kuna mambo ameyaficha. Its either hakuwa na mapenzi ya kweli na huyo demu na amepata next better option au la ameshagundua kuwa demu tayari ana mtu mwengine so anaweza akachekechwa at any moment.

Wanaume huwa hatuachi wanawake tunaowapenda kirahisi regardless what isipokuwa penye dalili za usaliti tu. Kukosa hela haijawahi kuwa sababu ya kuacha mwanamke mtoa mada ajiangalie maana kuna dalili atakuja kuikimbia familia yake siku 1 huko mbeleni.
 
Daaah[emoji119][emoji119][emoji119]kumbe unaweza kuachwa coz mwenzako anakupenda
Uongo umedevelop sana miaka hii, siasa imeingia hadi penzini kudadadeq! Unaachwa sababu unapendwa zaidi 🤣
 
Pambana sana mkuu ila tambua umri aukusubirii upate hela. Usije ukaishia kuchanganyikiwa tu mbeleni.
 
Wacheni uasherati na uzinzi, ni uchafu. Oaneni.

Angekuwa mkeo wa ndoa saa hizi hata mashemeji wanakupiga tafu.
 
Kwa hiyo tia maji na kuchoka kwake wewe kunakufurahisha maana ni kama umeandika kipande hicho kwa bashasha sana.

Muombee afanikiwe na awe na maisha mazuri huko aliko bana. Kufurahishwa na maisha magumu ya ex wako siyo ishara nzuri....
Mimi ilinitokea nikawa nadata lakini nilishangaa yule mwanamke anawatafuta ndugu anawaambia ndugu yenu hayupo sawa kaeni nae vizuri muongee siku akaniita akaniambia unaelekea kuwehuka nilimsikiliza nikajitafakari now alhamdulilah
 
"Akachekechwa" 🤣🤣🙌
 
Maisha ni rahisi sana kuyatolea maelezo ya kitaalamu au dhihaka ikiwa situation husika haijakukuta wewe.
 

So hamuachi mwanamke kirahisi[emoji848]
 
Uongo umedevelop sana miaka hii, siasa imeingia hadi penzini kudadadeq! Unaachwa sababu unapendwa zaidi [emoji1787]

Aiseee hii imenishangaza yani naweza kuachwa coz napendwa[emoji848][emoji848]
 
Unakosea,Mimi wangu alinivumilia miaka 10 ya msoto na hakuwahi kunidharau na hela ya kutembeza bahasha alikuwa ananipa,yeye alikuwa anafanya kazi.U know what?nilipata kazi sasa ni mke wangu na nipo vzr kiuchumi.
Hizi story za namna hii zinavutia Sana na kuoendeza ukizisoma na hata zikiimbwa kwenye music na naamini kila mwanaume anahitaji hiki lakini je mwanamke yupo tayari, so kitu Kama hiki kuwezekana ni inategemea kwenye maamuzi ya mwanamke na si mwanaume, mwanaume hauwezi amua kitu hiki kitokee ila mwanamke anaouwezo huo so sio cha kujisifu mwanaume bali kushukuru tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…