BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Nimuoe,wewe si hauna hela? Mi ninazo[emoji3][emoji3][emoji3] halafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimuoe,wewe si hauna hela? Mi ninazo[emoji3][emoji3][emoji3] halafu?
Ni kweli na nimejifunza ilo.Tafuta tu hela mwaya, penzi bila hela ni kama uji usio na sukari wala maziwa wala limao....haunyweki!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]maamuzi magumu halafu mazuri.
halafu nitumie namba zake huyo manzi nimwambie sababu ya wewe kumuacha ili asiwe na huzuni[emoji3526]
Jojo bana! 😁😁😁Kwa sasa huna mpenzi,pesa huna unaanza kuchukua sheria mkononi sio?
Jojo bana! 😁😁😁
Akili yako ndogo sana..Nimekua pamoja na huyu binti kwa miaka miwili na ziada. Marafiki na baadhi ya ndugu kila upande wanajua mahusiano yetu. Kilichopelekea kuachana nae ni hali yangu duni kiuchumi. Kwa kipindi cha takribani mwaka na nusu sasa napitia hali ngumu sana.
Kwa mwanaume ni ngumu kudumisha mahusiano kama haupo stable kiuchumi, sio binti muomba hela akiniomba basi najua kabisa huyu ana shida kweli tatizo hata hizo mara chache anapoomba msaada wangu nakua sina kitu.
Baada ya kujitafakari nimeona ni bora tuachane uenda akakakutana na mwingine mwenye hali nzuri. Sijamuambia sababu nipo broke nimetafuta sababu nyingine. Kama kawaida kaniaga kwa maneno makali kidogo lakini nilishajiandaa kwa ilo.
Vijana wenzangu usiwe commited kwenye mahusiano kama bado uchumi unayumba. Hata kama mwanamke anakupenda kwa hali yako hautakuwa sawa kisaikolojia. Siku ya pili sasa bado najilaumu kwa nilichokifanya lakini maisha lazima yaendelee. Nimelazimika kumuacha kwa sababu nampenda.
Kwa hiyo tia maji na kuchoka kwake wewe kunakufurahisha maana ni kama umeandika kipande hicho kwa bashasha sana.2020 niliacha binti kwa style hiyo kwa sababu hiyo hiyo ya kupigika na najua asinge weza nivumilia mashida zangu na sikumwambia kuwa nimekuacha ila nilijiweka sipo-nipo ahadi nikaisogeza mbele ili aamue kusepa au kubaki akasepa zake. Last conversation yetu alinitukana kipuuzi saana eti kama ni pesa basi niwe freemason nitapata kwa kebehi lukuki kedekede nikanyong'onyea kiasi ila nashukuru nilijiandaa kwa kila kitakacho tokea baada ya maamuzi yale. Mungu ni mwingi wa rehema nimehangaika angalau nipo njia yenye uelekeo wakujitafuta zaidi. Aliolewa now sijui maisha yake ila tia maji kachoka walio mwona wanavyosema. This is life. Hakuna wakukuvumilia pambania kombe lako mapenzi waachie wahindi wale waigizaji
Itajulikana mbeleniUlichokosea ni kumdanganya, ni bora umuambie ukweli ili ajue, kwa hiyo kesho ukipata hela utataka urudishe majeshi
Atafutie wapi mtafanya ajiingize kwenye vitendo viovu aridhike tu na alichonacho akubaliane na umaskini uwe kama pambo kwake ila asimuache mpenzi coconut oil au baby care mpaka pale atakapofariki..hela sio zakila mtu unaweza kupambana na ukazikosaTafuta tu hela mwaya, penzi bila hela ni kama uji usio na sukari wala maziwa wala limao....haunyweki!!!
Hapana mkuu sijafurahishwa na huwa sipendi kumfuatilia wanaonipa taarifa nimewakataza wasinipe taarifa za kumhusu yeye. Na huwa sikuwa na ubaya wowote na yeye sema alishindwa kuonesha kunisupport kwenye hz hustle za mtaa so akaona anitukane kuwa kama nipesa niwe freemason. Mkuu mm sina kinyongo wala kisasi nae maana i was real 100%Kwa hiyo tia maji na kuchoka kwake wewe kunakufurahisha maana ni kama umeandika kipande hicho kwa bashasha sana.
Muombee afanikiwe na awe na maisha mazuri huko aliko bana. Kufurahishwa na maisha magumu ya ex wako siyo ishara nzuri....
Mm alipanic afu hakunisikiliza afu muda huo nikakamatwa na homa aisee hata hakunijulia hali. Sometimes tunapitia mengi ndio maana hatuogopi kitu now daysMimi alipaniki lakini hakufika uko kwenye maneno ya kashfa. Na sikumjibu chochote wakati wa hayo mashambulizi yake kwangu
Kosa kubwa umefanya,Kwa hiyo ukipata hela ndio utatafuta mke?utapata Malaya tuNimekua pamoja na huyu binti kwa miaka miwili na ziada. Marafiki na baadhi ya ndugu kila upande wanajua mahusiano yetu. Kilichopelekea kuachana nae ni hali yangu duni kiuchumi. Kwa kipindi cha takribani mwaka na nusu sasa napitia hali ngumu sana.