Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.Daaah[emoji119][emoji119][emoji119]kumbe unaweza kuachwa coz mwenzako anakupenda
Mkuu jitafute kwanza ndo uwe na familia mapenzi uwez endesha una hela kabisa.Ndio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.
Akija kwenye kiosk changu simuuzii sabuni yakipandeKwa hiyo kama huna pesa huna haki ya kupenda/ndwa?
Kama ipo nafasi mrudie mwenzako,pambana akiwepo
Kususa haikusaidii kitu
Kwa sasa huna mpenzi,pesa huna unaanza kuchukua sheria mkononi sio?
😂😂😂Akija kwenye kiosk changu simuuzii sabuni yakipande
Hicho ndicho nimegundua na nimeanza kukifanyia kazi. Ingawa ukijipata thamani ya jinsia nyingine itashuka kwa kujuwa hapa bila hela sipendwi ndio iyo inapelekea mwanaume kuwaangalia wanawake kama chombo cha starehe tu, mambo yakiwa mazuri financialy hopeful nitauvuka huo mtihaniMkuu jitafute kwanza ndo uwe na familia mapenzi uwez endesha una hela kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usifanye ivyoAkija kwenye kiosk changu simuuzii sabuni yakipande
Nikupe siri,,,, usifikir kumuacha ndo umetatua huwezi jua huyo ndo anaweza kuwa ulikuwa mlango wako wakuelekea kung'arisha nyota yako waulize wakubwa zako,watu wa dini nawatu unaowaheshimu,,,,ndoa ni ibada takatifu ndo maana wanashauri sana uwe muangalifu unapooa,......halafu aliyekudanganya kuwa ukioa huwezi kufanikiwa ila utaendeleza mnyororo wa umaskini huyo nimtu mpuuzi sana,,,,unafikiri wote waliofanikiwa walifanikiwa kabla hawajaoa???? Endelea kuwaacha wanawake bila sababu za msingi utakuja kudondokea pungaNdio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.
Kwa mwanume kuoa au kuingia kwenye mahusiano siriaz ni kujiongezea majukumu, hivi unaona sawa mtu aoe wakati anajua hatoyamudu hayo majukumu kwa wakati husika hata nikisema nioe bado kuna watakaolaumu kwanini umeoa wakati unayumba kiuchumi utahudumia vipi mkeo. Kila maamuzi hayakosi wakosoaji cha muhimu ni kuchukua hatua unazoona zinafaa. Binafsi siwezi kumshauri mtu abebe majukumu yanayomzidi uwezo kwa kigezo kwamba wapo wengi wanaishi ivyo, kuishi maisha ya shida sio mashindano.Nikupe siri,,,, usifikir kumuacha ndo umetatua huwezi jua huyo ndo anaweza kuwa ulikuwa mlango wako wakuelekea kung'arisha nyota yako waulize wakubwa zako,watu wa dini nawatu unaowaheshimu,,,,ndoa ni ibada takatifu ndo maana wanashauri sana uwe muangalifu unapooa,......halafu aliyekudanganya kuwa ukioa huwezi kufanikiwa ila utaendeleza mnyororo wa umaskini huyo nimtu mpuuzi sana,,,,unafikiri wote waliofanikiwa walifanikiwa kabla hawajaoa???? Endelea kuwaacha wanawake bila sababu za msingi utakuja kudondokea punga
Kila mmoja na namna yake ya maisha .Haujiamini we jamaa, kuna wenzio hata smartphone hawana Ila wameoa na wanaishi hivyo hivyo kwa donee donee
KhaaaBinti hujamuoa umhudumie wewe? na wazazi/ndugu zake wafanye nini?
Wabongo tuna uraibu/adiction ya tabu na umasikini. Tupo tayari kuilinda, kuitetea na kuipigania chain wa umasikini hata kama unaweza kuchukua maamuzi rahisi tu kuuzia kabla iyo chain kabla haijawa established. Mtu asipopitia maisha ya tabu/umasikini tunaona kama vile life cycle yake haijakamilika.Jamaa watu wengi hawatakuelewa kwasababu wewe ndo unajua nini unapitia, kuingia kwenye ndoa ni majukumu na Yana mambo mengi, uzae watoto wawe wanaishi maisha ya shida hii inafaida gani?
Nani uyo mkuu.Halafu humu humu kuna nyuzi za jamaa anagawa laki tatu na elfu hamsini hamsini kwa mtu kakutana naye klabu
Ndio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.
Kikubwa zaidi ni kwa faida yakeMmmh ila kama yeye hajawahi kulalamika
Why umpe adhabu kali kiasi icho
Mkuu kwani wewe huna kazi yeyote inayo kuingizia hata buku mbili? Kwa hiyo utaanza kuwa na mwanamke ukiwa tajiri? Mimi naamini kwa ulichonacho bado mgepambana wote lakini wewe kuondoka umeonesha udhaifu ….yeye kama alikubali kuwa nawe kwanini ukimbie?Achana na sound za motivational speakers izo wanaoongea mambo ambayo hawajayaishi au kuyafanya kwa vitendo. Confidence ina traits zake and one of them is financial wellbeing.