Tumeachana rasmi

Tumeachana rasmi

Daaah[emoji119][emoji119][emoji119]kumbe unaweza kuachwa coz mwenzako anakupenda
Ndio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.
 
Mkuu jitafute kwanza ndo uwe na familia mapenzi uwez endesha una hela kabisa.
 
Kwa hiyo kama huna pesa huna haki ya kupenda/ndwa?

Kama ipo nafasi mrudie mwenzako,pambana akiwepo
Kususa haikusaidii kitu

Kwa sasa huna mpenzi,pesa huna unaanza kuchukua sheria mkononi sio?
Akija kwenye kiosk changu simuuzii sabuni yakipande
 
Mkuu jitafute kwanza ndo uwe na familia mapenzi uwez endesha una hela kabisa.
Hicho ndicho nimegundua na nimeanza kukifanyia kazi. Ingawa ukijipata thamani ya jinsia nyingine itashuka kwa kujuwa hapa bila hela sipendwi ndio iyo inapelekea mwanaume kuwaangalia wanawake kama chombo cha starehe tu, mambo yakiwa mazuri financialy hopeful nitauvuka huo mtihani
 
Ndio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.
Nikupe siri,,,, usifikir kumuacha ndo umetatua huwezi jua huyo ndo anaweza kuwa ulikuwa mlango wako wakuelekea kung'arisha nyota yako waulize wakubwa zako,watu wa dini nawatu unaowaheshimu,,,,ndoa ni ibada takatifu ndo maana wanashauri sana uwe muangalifu unapooa,......halafu aliyekudanganya kuwa ukioa huwezi kufanikiwa ila utaendeleza mnyororo wa umaskini huyo nimtu mpuuzi sana,,,,unafikiri wote waliofanikiwa walifanikiwa kabla hawajaoa???? Endelea kuwaacha wanawake bila sababu za msingi utakuja kudondokea punga
 
Kwa mwanume kuoa au kuingia kwenye mahusiano siriaz ni kujiongezea majukumu, hivi unaona sawa mtu aoe wakati anajua hatoyamudu hayo majukumu kwa wakati husika hata nikisema nioe bado kuna watakaolaumu kwanini umeoa wakati unayumba kiuchumi utahudumia vipi mkeo. Kila maamuzi hayakosi wakosoaji cha muhimu ni kuchukua hatua unazoona zinafaa. Binafsi siwezi kumshauri mtu abebe majukumu yanayomzidi uwezo kwa kigezo kwamba wapo wengi wanaishi ivyo, kuishi maisha ya shida sio mashindano.
 
Jamaa watu wengi hawatakuelewa kwasababu wewe ndo unajua nini unapitia, kuingia kwenye ndoa ni majukumu na Yana mambo mengi, uzae watoto wawe wanaishi maisha ya shida hii inafaida gani?
Wabongo tuna uraibu/adiction ya tabu na umasikini. Tupo tayari kuilinda, kuitetea na kuipigania chain wa umasikini hata kama unaweza kuchukua maamuzi rahisi tu kuuzia kabla iyo chain kabla haijawa established. Mtu asipopitia maisha ya tabu/umasikini tunaona kama vile life cycle yake haijakamilika.
 
Halafu humu humu kuna nyuzi za jamaa anagawa laki tatu na elfu hamsini hamsini kwa mtu kakutana naye klabu
 
Ndio dada angu. Chukulia mfano wazazi wa baroteli walimuacha mtoto wao baroteli awe adopted na mzungu kwa sababu hawana uwezo wa kumuhudumia. Kwa nini ning'ang'anie kubaki na mwanamke wakati sina uwezo matokeo yake tutazaa watoto na kuendeleza chain ya umasikini kwenye kizazi chetu.

Mmmh ila kama yeye hajawahi kulalamika
Why umpe adhabu kali kiasi icho
 
Hata mi yalinitokea kama wewe tuliachana Kwa matusi na kebehi ila nilichojifunza ni kutafuta michongo ya maana ili upate Hela kidogo utengeneze maisha yako yakae fresh ye mwenyewe utamuona anaanza kujiludi.
 
Achana na sound za motivational speakers izo wanaoongea mambo ambayo hawajayaishi au kuyafanya kwa vitendo. Confidence ina traits zake and one of them is financial wellbeing.
Mkuu kwani wewe huna kazi yeyote inayo kuingizia hata buku mbili? Kwa hiyo utaanza kuwa na mwanamke ukiwa tajiri? Mimi naamini kwa ulichonacho bado mgepambana wote lakini wewe kuondoka umeonesha udhaifu ….yeye kama alikubali kuwa nawe kwanini ukimbie?
 
Back
Top Bottom