DOKEZO Tumeachishwa kazi kihuni na Global Publishers, wanataka kutudhulumu haki zetu, tufanye nini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aiseee Shigongo.
 
kuna Mume wangu ameacha kazi mwezi uliopita sababu za changamoto hizi hizi, anadai miaka minne sasa hata mia hajapewa, Shigongo amekazania Ubunge anatusahau, nikihesabu anadai kama milioni 15 hivi.
 
Alafu juzi hapa akampasua Mwingira eti ni Mchungaji kweli? Sasa shigongo embu na wewe uje ututhibitishie kama kweli wewe umeokoka kwa kuwapa wa fanya kazi haki zao... La sivyo we nawe wale wale... 😁 😁 😁 Niko pale nakusubiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…