Napata aibu Mimi mkuu,hili neno kuahirisha au kuhairisha limeshajadiliwa humu mara nyingi na tukakubaliana kuwa ni kuahirisha na sio kuhairishaLeooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa
JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama
MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU mtuondolee Yale mapost YENU yanakera
Cha
Cha
KAZI iendeleeee