Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na pia wameomba samahani kwa kitendo hicho hadharani. Hii Inathibitisha ukweli umedhihiri na uongo umejitenga. Haki siku zote itabaki ni haki tu. Ukristo uliingia Zanzibar kabla ya kuingia Tanganyika! Ndio maana leo Makanisa ya Mkunazini na Mbweni sasa yanatimiza miaka 400.
Hakuna Kanisa Tanganyika linalofikia hata Miaka 250 - Hakuna, Kuanzia leo Ndugu zetu Wakristo elimisheni jamii Shuleni na sehemu za Makumbusho ya enzi za kale ya kwamba Biashara hiyo kwa kauli na utamshi ilifanywa na Wazungu na sio Waarabu, sisi kama sisi Waislamu na Ndugu zetu Waarabu hatuna budi ya kusema ALHAMDULILAH ALLAHU AKBAR UKWELI UMEDHIHIRIKA NA BATIL IMETAMBULIWA WASHAHADA SHAHIIDUN MIN AHLIHAA.
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!