Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar


Acha uongo. Mafundisho ya uislamu yanasema Mtume muhammad mwenyewe alikuwa anafanya biashara ya utumwa. Na alimiliki watumwa.

Waarabu walioleta uislamu wanaachaje biashara ya utumwa wakati ni sunnah ya mtume?
 
Rejea vitabuni chief..usome role of Ottoman empire katika vita vya kwanza vya dunia. Ottoman empire ilikuwa ni dola ya kiislamu. Tafuta muda usome.

Pili, tueleze role ya kina tip tip na sultanate of Oman katika slave trade ya east africa. Hawa ndiyo walikuwa madalali wakubwa zaidi wa watumwa duniani. Sultan na tip tip hakuwa myahudi au mkatoliki .

Biashara ya utumwa ya east africa yote ilikuwa dominated na arabs. Wazungu waliparticipate zaidi na transatlantic slave trade..ambapo walichukua watumwa west africa zaidi.

Waliotukomesha sisi wanyamwezi ni waarabu. Na watumwa wengi waliishia Uarabuni.

Nenda kamsome Tip Tip na Abushiri kwenye utumwa tanganyika na zanzibar

Hii ni historia ya darasa la tano afsa.
 
Hii haituondoi kwenye ukweli kuwa chanzo cha Utumwa ni matabaka baina ya tabaka lenye nguvu na tabaka dhaifu.Waarabu waliendeleza Biashara ya Utumwa na kufuta mila na desturi zetu ndiyo maana Zanzibar wote mila zao ni za Kiarabu.Majina yao yote yalishafuta kizazi chao cha asili na kuitwa majina ya Kiarabu tu.Huo ni utumwa mbaya sana.
 
Waombe radhi kwa kitu ambacho hawajakifanya! Wewe endelea kuamini tu waarabu walishiriki, ila wenye elimu zao wanajua kama waarabu hawakuhusika.

Waarabu wabarikiwe sana
Hawajahusiki kivipi wakati Wanyamwezi karibia wote wako Zanzibar?
 

..Waarabu walikamata Watumwa.

..Wazungu walinunua Watumwa.

..Waafrika walikuwa Watumwa.

..Baadhi ya Waafrika walishiriki kukamata Watumwa.
 
Inashangaza Kuona kwamba kuuficha ukweli imekuwa ni faraja kuu ya moyo wako! Hivi huko visiwani mnawapendea Nini waarabu? Nb simaanishi muwachukie coz ni binadamu but hili halitoi unajisi walioufanya kwenye ukanda huu wa Pwani unguja,Pemba, Bagamoyo, nk.
Waliutweza utu wa mweusi wakamfanya kuwa punda , punda huyo akateseka dahari Kwa dahari na Kwa uovu wao huu, weusi wakahasiwa kuondoa kabisa uzazi huko Uarabuni.
Hili halitasahaulika.
 
Acha uongo. Mafundisho ya uislamu yanasema Mtume muhammad mwenyewe alikuwa anafanya biashara ya utumwa. Na alimiliki watumwa.

Waarabu walioleta uislamu wanaachaje biashara ya utumwa wakati ni sunnah ya mtume?

Qurani hiyo labda aliandika nabii wako Tito
 

Unaweza kutuwekea jina la mtu mweusi mmoja tu aliyehasiwa huko Uarabuni ?? Usituwekee hadithi za mchungaji wako
 
..Waarabu walikamata Watumwa.

..Wazungu walinunua Watumwa.

..Waafrika walikuwa Watumwa.

..Baadhi ya Waafrika walishiriki kukamata Watumwa.

waafrika wengine wakijipeleka wenyewe kuuzwa kama ilivyo hivi sasa
 
Maarifa Yako yamejaa HISIA ,Tena HISIA Kali!!

Kuwa na maoni tofauti ni afya kwa jamii yotote, Lakini kama unatanguliza HISIA kamwe hutajifunza kitu Cha kukufanya uwe MTU HURU.

Upo tayari kupokea historia halisi ya matukio yaliyotokea duniani kabla ya vitabu vya wakoloni? Unafahamu kwamba vitabu vyote vya Imani ni FASIHI?

Maisha siyo Faith (Imani) maisha ni fact based, kama Leo ni mwaka 2024 basi kumbuka kulikuwa na mwaka moja(1) upo tayari kuyapokea hayo as a new study kwako?

About Palestine!! UPENDO ni Asili ya viumbe wote hai, ulimwengu unapaswa kuwa mahala salama pa watu wote kuishi Tena kuishi kwa uhuru na amani,bila kujali Imani na RANGI ya MTU...sisi sote ni watu...
 

Nikiwa mwizi nikavunja nyumba ya watu nikakuletea vitu vya wizi in the eyes of the law u are also part of the inner circle we are both culprits ...alievunja akaiba na aliepokea vitu vya wiz akawa anavitafutia wateja na kuviuza ili hali akijua ni vya wizi.. qote ni guilt as charged

So waarabu an wazungu wote wako chungu kimoja.. two wrongs dont make it right.. hakuna sababu ya kuanza kutetea hao watu kwa Misingi ya dini

Ulipaswa kulaan pasipo kujali nani alianzisha sio kuwapaka rangi waonekanw wasafi waraabu wakat wote waliwapa mababu zetu adhabu za jehanam dunian..

By the way dunia nzima Inajua wahusika wa utumwa ni mzungu na mwaraabu.. akishirikiana na baadhi ya tawala local za eneo husika .. kuanzia Asia, America hadi africa. It was part of their culture.. hao wazungu na waraabu walianzia kufanya watu wao watumwa kwa misingi ya kipato na ukoo kabla ya kuvuka Mipaka kuleta wageni kwa kuwafanya watumwa kwa misingi ya rangi ya ngoz
 

Labda biblia ya kanisa lako ndio ni fasihi
 


Hiyo biashara ikifanywa na kila mtu

'My Nigerian great-grandfather sold slaves'
 
Acha uongo. Mafundisho ya uislamu yanasema Mtume muhammad mwenyewe alikuwa anafanya biashara ya utumwa. Na alimiliki watumwa.

Waarabu walioleta uislamu wanaachaje biashara ya utumwa wakati ni sunnah ya mtume?


Miafrika imetiwa sumu kanisani kuhusu uislamu na uarabu, haisikii .haifikiri wala haisomi. ni ujinga na Chuki kwenda mbele


View: https://www.youtube.com/watch?v=D291ZbcDcbg
 
Quran imeandika biashara ya utumwa hata mtume muhammad kafanya
Nachokijua mimi, mtume Muhammad baada tu ya kumuoa bi khadija alimuamuru Mkewe yaani bi khadija awaachie huru watumwa wake wote.
NB. Mtume alitokea familia maskini hakuwahi kumiliki watumwa zaidi ya kuwapa uhuru wale aliowakuta kwa mke wake.
Usiandike kitu usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…