Tumeanza kuishi kama wanyama, wakati wa ajali badala ya kusaidia watu waliopata ajali wanawaibia!

Askari alipokuja kitu cha kwanza niliulizwa unanipa kiasi gani. Yaani hapo ndio pameoza. Sikumpa hata sumni.
 
Pole sana. Hiyi ndiyo hali halisi ya Tanzania, hauo yameanza kujengeka kidogo kidogo kwenye njia kuu za safari, yanaandikwa yanaongelewa, "vicgtims" wanatoa ripoti. yanawakuta wengi sana, mpoaka imekuwa ni "norm" siku hizi.

Inasikitosha sana lakini kufupi, Tanzania maadili ya jamii yameporomoka sana na hatuna wanaochukulia hili jambo serious. Wanayoyafanya hayo kuwajua ni wepesi sana kwani wakishayafanya hawakai kimya, wanatamba, wanahadithiana matukio na kujisifdia.

Pole sana.
 
Pole sana. Hiyi ndiyo hali halisi ya Tanzania, hauo yameanza kujengeka kidogo kidogo kwenye njia kuu za safari, yanaandikwa yanaongelewa, "vicgtims" wanatoa ripoti. yanawakuta wengi sana, mpoaka imekuwa ni "norm" siku hizi.

Inasikitosha sana lakini kufupi, Tanzania maadili ya jamii yameporomoka sana na hatuna wanaochukulia hili jambo serious. Wanayoyafanya hayo kuwajua ni wepesi sana kwani wakishayafanya hawakai kimya, wanatamba, wanahadithiana matukio na kujisifdia.

Pole sana.
 
Inaonekana labda ulikuwa hufahamu kwamba hilo ni jambo la kawaida na lipo kwa miaka mingi tu iliyopita.

Kabla hata hizo boda hazijaanza kufanya kazi hilo suala lilikuwepo. Hata ajali za mabasi kuna watu walitajirikia huko kabisa. Especially enzi ambazo wafanyabiashara wengi wa mikoani na hata nchi jirani walipokuwa wakisafiri na pesa nyingi kwenda Dar kununua mizigo.

Tena afadhali walikuacha mzima. Kawaida wanaweza kukumalizia kabisa.
 
Pole sana mkuu, nilipata kusikia stori moja njia ya kwenda ruvuma hapo katikati ya njombe na ruvuma kuna mahali fulani palitokea ajali mbaya sana iliyopelekea watu wengi kupoteza maisha basi unaambiwa ajali ilitokea wakazi wa pale walienda eneo la tukio na kuanza kuchukua mali za majerui na inasemekana wengine walikuwa wanawamaliza pale pale kwa iyo aya mambo bado yapo.
 
Na bado tunataka viongozi wema waadilifu, wazalendo, tutawatoa wapi wakati viongozi wanatokana na sisi wenyewe na sisi hali yetu ndio hiyo? Tukitaka mabadiliko lazma tuanze kubadilika sisi wenyew kama ambavyo allah katuambia kwenye qur an suurt ra'ad aya ya 11

إِنَّ اللَّـهَ لَا يُغَيِّرُ مَا بِقَوْمٍ حَتَّىٰ يُغَيِّرُوا مَا بِأَنفُسِهِمْ

(Hakika Allaah Habadilishi yale yaliyoko kwa watu mpaka wao wenyewe wabadilishe yale yaliyomo katika nafsi zao.)
 
Kufa kufaana,we kufa sie tunasepa na pochi, simu, begi, viatu,
Hatuna jinsi, maaana sie kitaa tunakufa kwa taabu, njaa, sasa, tukipata nafasi Bora afe mwingine, sie tuendelee kupumua kwenye hii dunia, sio kwa, ubaya, hatuna jinsi, ni ama wewe au Sisi, hatufanyi hayo kwa sababu hatuna utu,njaa njaa jombaa
 
Nakuelewa ndio maana mpo. Natamani tu mmalizike kila siku mmoja mmoja tusiwe na watu kama nyinyi ttk jamii wasiopenda kutafuta kwa haki bali kuumiza wengine wasio na hatia.
 
Kuweni makini barabarani, TZ hii ukiwa road wengi wanatamani kukutoa roho.

Wewe ukiwa unakitu kinachokufanya uishi na undelee kupambana basi wenzako wanacho kinachowafanya wajitoe hata ikibidi kufa ili kuchukua ulichonacho
 
Khery yako wewe uliyebakia salama sisi ndugu yetu alipata ajali lakini wasamalia wema wakaja wakammalizia na kuchukua kila kitu.
 
Umechelewa kujua. Siku ingine jifanye umepoteza fahamu maana wakiona bado upo upo wanaweza kukupiga na kipande cha nondo ili waibe vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…