Jagwanana
Senior Member
- Jul 3, 2024
- 130
- 224
- Thread starter
- #21
Askari alipokuja kitu cha kwanza niliulizwa unanipa kiasi gani. Yaani hapo ndio pameoza. Sikumpa hata sumni.Wewe unasema hilo, unakuta baada ya ajali gari likipelekwa kituo cha polisi ukaliacha siku moja basi ukirudi unakuta kuna baadhi ya mali kwenye gari hazipo kama redio power window nk so hiyo ipo mpaka vituoni vya polisi unajiuliza aliechomoa ni nani, so uaminifu haupo kila mahali