Tumeanza kuishi kama wanyama, wakati wa ajali badala ya kusaidia watu waliopata ajali wanawaibia!

Umeongea neno ! Asante
 
Shida zinawafanya watu kubadilika mioyo.
 
Mikoa ya nyanda za juu ilitokea ajali ya basi zamani kidogo. Kama kawaida Wahafidhina wakawahi kuwaibia majeruhi bahati nzuri Wamasai walikua jirani.

Masai anaulizaa, "Rafiki mwenzako napata ajali, wewe naibia? Pyee anafyeka mikono.

VIVA MASAI.
 
Chezea Ufukara weyeee!! Wa tz ni mafukara na wamevurugwa na maisha.
Poleeee sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…