Jagwanana
Senior Member
- Jul 3, 2024
- 130
- 224
- Thread starter
- #61
Umeongea neno ! AsanteHiyo ndiyo picha halisi ya jamii ya kiTz.
Uadilifu sifuri, kuanzia mabarabarani hadi maofisini.
Kuanzia kwa raia hadi kwa viongozi wakuu, ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba, corruption iliyokithiri yaani ni laana.
Anayeonekana ni mwema kumbe anakuwa hajapata tufursa ya kutenda ufisadi uliopo damuni!
Fursa ya kutenda uhalifu inapojitokeza, ndipo inapodhihirisha kuwa nchi yote ni ya wezi na vibaka hii.
Pole kwa waliopata ajali na kuporwa badala ya kupatiwa msaada.