Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ndio haohao mitaani kwao wakisikia kelele za "mwizi,mwizi" hubeba matofali,mawe na shoka na kupondaponda wanaowaita vibaka na kuitwa "wananchi wenye hasira kali. Unafiki mtupu!Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu.
Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na mshahara akiupeleka nyumbani kwa mkewe. Watu walimkuta na boxer tu hela wamebeba. Kila mahali kwenye ajali watu wanakimbilia kuumiza mwenye shida. Imekuwaje tumefikia hapa kama watanzania!
Nani awape fundisho, serikalini penyewe kila mtu ana_ba kwa urefu wa kamba zake. Watu wako biz, jitahidi/mwombe mola usipate ajali hiyo ndo pona yako. Tukutate KizmkazHawa wanaoibia watu waliopata ajali inabidi wakikamatwa wapewe adhabu ili iwe fundisho kwa wenzao wenye tabia kama hizo
Cha kuchekesha kesho yake nilienda pale kwenye kituo cha mafuta nikaulizia kama naweza kurudishiwa vitambulisho Na kadi za bank. Afande wa hapo aliwatafuta nikarudishiwa ID zote na kadi za bank waliniomba nulipie elfu 50 nikachanganyikiwa. Nikarikiria hivi kwa nini tumekuwa mijitu mihuni kiasi hiki!Hawana huruma hata kidogo. Niling'ang'ania simu nikapigwa ngumi nzito kichwani nikaiachia pia
Wanaotakiwa kuwatetea wananchi nao wamekuwa wezi, karatasi na peni zimekuwa nyenzo muhimu kwenye kutekeleza wizi, huku jemedari mkuu aki endorse kuwa kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake!Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu.
Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na mshahara akiupeleka nyumbani kwa mkewe. Watu walimkuta na boxer tu hela wamebeba. Kila mahali kwenye ajali watu wanakimbilia kuumiza mwenye shida. Imekuwaje tumefikia hapa kama watanzania!
Unatype huku uko kwenye boda boda nini?...maana makosa kama yote..."vicgtims"Pole sana. Hiyi ndiyo hali halisi ya Tanzania, hauo yameanza kujengeka kidogo kidogo kwenye njia kuu za safari, yanaandikwa yanaongelewa, "vicgtims" wanatoa ripoti. yanawakuta wengi sana, mpoaka imekuwa ni "norm" siku hizi.
Inasikitosha sana lakini kufupi, Tanzania maadili ya jamii yameporomoka sana na hatuna wanaochukulia hili jambo serious. Wanayoyafanya hayo kuwajua ni wepesi sana kwani wakishayafanya hawakai kimya, wanatamba, wanahadithiana matukio na kujisifdia.
Pole sana.
Laana hii na tuiepuke.Watu wamekuwa makatili sana
Na watazidi kuwa makatili
Ova
Hali ngumu pesa hakuna pesaNilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu.
Juzi tu kuna mtu amepata ajali akagongwa na alikuwa na mshahara akiupeleka nyumbani kwa mkewe. Watu walimkuta na boxer tu hela wamebeba. Kila mahali kwenye ajali watu wanakimbilia kuumiza mwenye shida. Imekuwaje tumefikia hapa kama watanzania!
dah aisee pole sana ila uyo aliefanya hvo itamrudia tuHawana huruma hata kidogo. Niling'ang'ania simu nikapigwa ngumi nzito kichwani nikaiachia pia
Mdogo wangu akipata Ajali ya boda alivunjika mguu katika Ajali hiyo.watu wamekua makatili sana hata kama maisha n magumu inabd tuwe na huruma hata kdg unamuibia mtu kapata ajali dah🥲
watu wana roho za kikatili sana aiseeMdogo wangu akipata Ajali ya boda alivunjika mguu katika Ajali hiyo.
Wakati anajiandaa kutupa taarifa watu wakaja wakamnyang'anya simu na kumpukutisha maokoto then wakala kona.
MBona unasifia ujingaInaonekana labda ulikuwa hufahamu kwamba hilo ni jambo la kawaida na lipo kwa miaka mingi tu iliyopita.
Kabla hata hizo boda hazijaanza kufanya kazi hilo suala lilikuwepo. Hata ajali za mabasi kuna watu walitajirikia huko kabisa. Especially enzi ambazo wafanyabiashara wengi wa mikoani na hata nchi jirani walipokuwa wakisafiri na pesa nyingi kwenda Daro kununua mizigo.
Tena afadhali walikuacha mzima. Kawaida wanaweza kukumalizia kabisa.
Hiyo ndiyo picha halisi ya jamii ya kiTz.Nilipata ajali ya gari Morocco bodaboda walikimbia kuja waliivamia wakaniibia kila kitu, pamoja jeki, tairi la gari, hela na kila kitu.