Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

Tumeanza kulazimisha mabasi na abiria kwenda kupakia stendi kuu?

serikali iachane kabisa na sisi abiria tunaopandia ofisi za mabasi,kule usalama mkubwa unaweza kuacha mzigo wako ukaenda kutafuta chakula,chooni,dukani kufata maji,vocha n,k
 
Back
Top Bottom