Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?
Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!
Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.
Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.
I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).
PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
- Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51