Tumebadilishana rasilimali za nchi na PhD?

Washauri wanaomzunguka... ila pia akili ya darasani inaweza isiwe kuubwa kiivyo lakini akawa na maarifa... sasa hapa si yeye tu hata washauri wametuangusha... ni huzuni
Kuna ulazima wowote wa yeye kufuata ushauri wao? Inatakiwa yeye afanye maamuzi kulingana na anvyoona kuna maslahi kwa nchi, sio kwake.
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Sifa za kijinga
 
Kuna ulazima wowote wa yeye kufuata ushauri wao? Inatakiwa yeye afanye maamuzi kulingana na anvyoona kuna maslahi kwa nchi, sio kwake.
Kwa kilichofanywa kuna maslahi ya nchi au binafsi?
 
Nadhani hujaelewa swali langu. Kama anashauriwa vibaya, je sheria ama katiba inamlazimisha kukubali ushauri wa watu wake wa karibu? Inawezekana anafanya kwa utashi wake yeye na sio washauri wake
 
Mkianza kujiandikia na kutaka watu tuamini tu huo ni uzwazwa, wengine tushapita hiyo hatua hata kama hatuwapendi watu hatuamini tu kama nyie nyumbu.
Nikiangalia maandishi yako mengi humu JF, naona wewe hata unyumbu huna kwa sababu ni kiumbe hafifu sana kiakili.

Sasa tueleze ushahidi wa huo unyumbu unaowapachika wengine ni upi hasa; na wewe usiyekuwa nyumbu tuonyeshe ushahidi huo tuuone.
Hopeless Kabisa. Eti "'burden of proof'", unajuwa ni kitu gani hicho?

Na kama bado huelewi nilichoandika huko juu ngoja nikufafanulie wewe kiumbe duni sana uweze kufahamu.
Huo ushahidi unaotaka tuutoe, nenda kamwambie huyo mama yako aweke hiyo mikataba wazi. Huko ndiko ushahidi ulipo, usitudai sisi tulete ushahidi.

Jina linashabihiana sana : Bufa= Buffoon
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

Maza kahongwa PhD anasaini mikataba ya hovyo.

Sasa hiyo PhD ya sijui ya usafiri wa anga amepewa kwa kufanya nini .... au ndiyo kumfariji na ile ndoto yake ya utotoni ya kuwa Mhudumu wa ndege. Binafsi sijawaelewa kabisa hawa Wakorea wana mpango gani. Sikujua kama nao wana hizi design za kichina china.
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Tafuta namna ya kutoa hayo makamasi yako, hujui gharama ya kusomea PhD?
 
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?

Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka tumebadilishana PhD na Madini na Bahari!

Mbona tunarudi kwenye Mikataba ya kina Mangungo! Kweli na usomi huu wa karne hii tunaingia mikataba ya kipumbavu kama hii? Kuna watu wanaomshauri kweli Mkulu.

Sasa tunaanza kuamini ni hela za kapeni zinatafutwa kwa udi na uvumba. Mtu mwenye uchungu na nchi yake na mzalendo wa kweli hawezi kufanya jambo kustajaabisha kama hili.

I'm so wonders kwakweli (kwa sauti ya Steve Nyerere).

PIA SOMA
- Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini
Eti cute wife, wakati danga tu wewe na tunakufahamu. We kauze mwili wako utapewa PhD
 
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake.

Mambo yaleyale alifanyiwa Joyce Banda na sasa Ndugu yenu naye anafanyiwa. Nyuma yake kuna mikataba ya kuliua taifa la Tanzania. Mimi naamini siku za mwisho wa uhai wake atakili.

Kwa kuwa nchi yetu ni huru hivyo pia inao raia wajinga ambao kazi Yao ni kupongeza kila kitu bila hata kupata nukta chache za kufikiri.

Uturuki walimpa, India walimpa,wakorea wamempa. Jamaa wanaambizana.

Kopa mikopo kwa sana,wajanja wametega midomo kuja kuila.

Pole Tanzania kwasasa
 
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake. Mambo yaleyale alifanyiwa Joyce Banda na sasa Ndugu yenu naye anafanyiwa. Nyuma yake kuna mikataba ya kuliua taifa la Tanzania. Mimi naamini siku za mwisho wa uhai wake atakili. Kwa kuwa nchi yetu ni huru hivyo pia inao raia wajinga ambao kazi Yao ni kupongeza kila kitu bila hata kupata nukta chache za kufikiri.

Hizo PhD hazina tatizo, acheni nongwa
 
Mnalalamika sana bila concrete proofs yaani.

Stori za vijiweni tu.
 
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake. Mambo yaleyale alifanyiwa Joyce Banda na sasa Ndugu yenu naye anafanyiwa. Nyuma yake kuna mikataba ya kuliua taifa la Tanzania. Mimi naamini siku za mwisho wa uhai wake atakili. Kwa kuwa nchi yetu ni huru hivyo pia inao raia wajinga ambao kazi Yao ni kupongeza kila kitu bila hata kupata nukta chache za kufikiri.
Uturuki walimpa, India walimpa,wakorea wamempa. Jamaa wanaambizana.
Kopa mikopo kwa sana,wajanja wametega midomo kuja kuila.
Pole Tanzania kwasasa
Kabisa,ila chadema pia wajue kuwa kutukana sio kujenga nchi.
 
= atakiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Namimi nifanye nini ili nipewe PhD za bure?
 
Back
Top Bottom