Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hahahaa makamanda poli wana shida sana, hukurupuka bila kujua wnachoongea hakiwezi kutimia hata kwa msemaji. mwenyewe.Si walisema wasusie voda!
Kwani ulisombwa na malori kwenda mkutanoni? Kama umeenda kwa hiari yako nakushangaa unalalamika nini, wanawake wa siku hizi mna tabu sanaMkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.
Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake, ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana...
Anawashwa huyu sio bure, kwa taarifa yake tutachanga tu hata wakichangisha mwaka mzimaNa wewe usitusumbue. Michango hata kina Trump mabillionea huchangiwa.
Si walisema wasusie voda!
Mnampenda ila shetani anawasumbua sana
Unaonyesha kabisa kuwa wewe sio Mfuasi wao bali ni Mamluki.
Si mnasema wametumwa na MABEBERU? ina maana hao MABEBERU hawajawapa pesa hadi wanachangishana? Ukiwa Ccm hata uwe na PhD unakuwa mpumbavu kama mwenyekiti tu
Ulazimishi kuchanga,kama huna basi sio lazima.
Sisi Kwa bukubuku zetu tutachangia Hilo halitusumbui hata kidogo
Kwani ulisombwa na malori kwenda mkutanoni? Kama umeenda kwa hiari yako nakushangaa unalalamika nini, wanawake wa siku hizi mna tabu sana
Sisi tunachanga wenye roho za ibilisi moto uendelee kuwachoma, mjidhihirishe hadharani jinsi mlivyo wa shetani!
Acha upuuzi, kama hutaki kuombwa michango kaa nyumbani kwako, michango ni culture yetu ndio maana hata Lissu alitibiwa kwa pesa za michango yetu, M4C ilistawi kwa michango, wabunge walilipa faini mahakamani kwa michango yetuSijalalamika kwenda, balj jinsi tunavyoombwa kuchanga michango