Uchaguzi 2020 Tumechangishwa tena michango. Nimeuchuna, sijatoa

We nae huna hata unalolijua. Kwenda nitaenda na kesho naenda segerea, ila PESA HATUTACHANGA
Acha upuuzi, kama hutaki kuombwa michango kaa nyumbani kwako, michango ni culture yetu ndio maana hata Lissu alitibiwa kwa pesa za michango yetu, M4C ilistawi kwa michango, wabunge walilipa faini mahakamani kwa michango yetu

Wewe kaa pembeni tu usitubabaishe, unabwabwaja kama mke mwenza
 
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.

Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake, ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.

Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.

Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.

Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.

Huyu John nasikia ndiye alikuwa stadi wa kumletea EL andiko la gharama za kampeni. Ikabidi familia ya mamvwi ingilie kati.
 
Ndio maana nikasema SITATOA PESA, ila kwenye kampeni nitaenda. Na kesho mapema nipo tabata liwiti
Usilalamike sasa, hela hujatoa bado unalalamika, ungetoa hela ingekuaje

Nenda Lumumba
 
Si mnasema wametumwa na MABEBERU? ina maana hao MABEBERU hawajawapa pesa hadi wanachangishana? Ukiwa Ccm hata uwe na PhD unakuwa mpumbavu kama mwenyekiti tu
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ile kampeni ya kataa voda imeishajeishaje makamanda.
 
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.

Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake, ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.

Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.

Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.

Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
USITOE MIMI NITATOA SIKUWAHI KUTOA
 
Mbona dawa ndogo tu, kampeni za Chadema usiende na simu au ukisikia "Tufikishe ujumbe kwa Magufuli, bonyeza nyota 150 nyota 01 nyota.... " Jua ni wizi wa mtandao. Zima simu chomoa na battery.
 
Wewe gamba una kiherehere sana, mnafiki fulani unaejidai kuipenda Chadema kumbe ni muongo, hata hiyo mikutano nani mwenye akili timamu atakaeamini unaenda?

Wewe ni Idiot.
 
Back
Top Bottom