Uchaguzi 2020 Tumechangishwa tena michango. Nimeuchuna, sijatoa

Uchaguzi 2020 Tumechangishwa tena michango. Nimeuchuna, sijatoa

Nazani chadema walitakiwa kabla ya kuchangisha waseme rudhuku zimefanya kaz gan.
Ukiuliza hivyo unatukanwa. Ila mwendo ule ule tu wakituambia tutoe simu tuchange tunawaambia hakuna network
 
Nimeshachanga, mwambie huyo boga mwenzio aiteme Chadema.
Siitemi mpaka muache kutuchangisha kilazima kwenye mikutano tunayohudhuria.
Tumekuja kusikiliza sera na sio kuchanga pesa
 
Haujalazimishwa hata US kuna michango kwenye siasa cha ajabu kipi. Unataka pesa zitoke serikalini kama wale waliojibinafsisha viwanja vya serikali?
US wananchi wao wana uwezo na uchumi upo juu, sisi huku hali tete hatuna ajira hatuna pesa alafu mnataka tuchange! HATUCHANGI
 
Hivi nyie kila siku ni michango tu kwani mko harusini au mkutanoni si mtoke tu[emoji1787][emoji23]
Tunataka sana kusikiliza sera, tatizo ni hiyo michango tunayochangishwa kila siku, tena ni kama kwa lazima, utaskia haya toeni simu zenu, mara bonyeza *150*00# mara chagua 4 mara weka password, usanii tu
 
Wewe kada wa CCM ya CDM yanakuhusu nini?Mgombea wenu hana jipya,mambo ni yale yale ya flyover na madaraja!!!!
 
Sema huchangi!
Kama huna ajira basi ilaumu serikali ya ccm!
Ndio hatuna ajira kwa hiyo hata pesa za kuchanga pia hatuna, nailaumu serikali ya ccm na ndio maana nipo kusikiliza sera mbadala
 
Ya ccm hayanihusu, kikubwa viongozi waache kutuchangisha pesa
Mimi nimeshachangia CDM mara nyingi sana na nitaendelea kufanya hivyo kadri ya uwezo utakavyoruhusu!Kama hutaki kuchangia acha,wengine tutachangia!Ila usiwe mdomo wa wengine kwa masuala binafsi!
 
Ndio hatuna ajira kwa hiyo hata pesa za kuchanga pia hatuna, nailaumu serikali ya ccm na ndio maana nipo kusikiliza sera mbadala
Sema hauna na sio hatuna,wenye nazo watachangia!Wewe kausha tu na pambana na hali yako!
 
Obama alikuwa rais kwa msaada wa michango midogomidogo toka kwa wanyonge.
Ukisikia Tanzania kama ulaya ndio hiyo usishangae michango.
 
Sasa kama hatujalazimishwa kwa nn kila mkutano mnatuambia tutoe simu zetu alafu tubonyeze *150*00#???
Sawa Unaambiwa lakini kwenye kuchangia bado inabaki ni hiyari ya MTU.Ila kwa mpenda maendeleo ya kweli atachangia tu
 
Kuwachangia matajiri ni kupenda maendeleo au kukandamizana? Hivi unafikiri mbowe ni masikini?
Sawa Unaambiwa lakini kwenye kuchangia bado inabaki ni hiyari ya MTU.Ila kwa mpenda maendeleo ya kweli atachangia tu
 
Mkutano umeisha muda mfupi uliopita baada ya mgombea wetu kueleza sera zake.

Leo ameyameza maneno yake ya jana na hivyo ametueleza sera zake ni nzuri ila kuna sehemu anarudiarudia sana.

Kilichonisikitisha ni kuwa bado jambo lile la jana limejitokeza na leo kwa kuchangishwa michango ila leo aliyesema tutoe simu na kuchanga ni John Mrema, na sijui ni nani aliwaambia tunaokuja kwenye mkutano tuna namba za Voda tu.

Hatujachanga, kwa sauti ya unyonge sana tumesingizia tena network.

Watu ni wachache sana ila tukutane kesho Segerea.
You are completely out of sense....u deserve to be ignored
 
Kuwachangia matajiri ni kupenda maendeleo au kukandamizana? Hivi unafikiri mbowe ni masikini?
Achana na habari ya mbowe hapa tunaongelea cdm. Kuendesha kampeni si gharama ndogo eti;!! Hugo mbowe mwenyewe ni kama kafilisiwa
 
Back
Top Bottom