Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

Wahuni wanaangalia kwenye uwezekano wa kufanya tatizo liwe endelevu ili mfumo wa kupiga uwe wa kudumu. Walambe asali madumu kwa madumu mkija shtuka ndio ile unasikia waziri lameck atumbuliwa na Raisi kwa ubadhirfu wa fedha za umma wa Trillion 11 toka kwenye tozo za miamala ya simu. Mnabaki kusikitika tu dah 😀😀😀
 
Utakuwaje na maono wakati una uhakika wa kulala miaka yako yote iliosalia duniani kwa hela ilioko kwenye account😁 na usitetereke kimaisha. Sio wewe tu na familia yako
 
Inasikitisha sana,sasa kulikuwa na umuhimu gani wa ile ruzuku ya kupunga kutolewa halafu mateso back yanaendelea si bora ile hela ingefanya Kazi nyingine muhimu au akili yangu ndogo? naomba mnifafanulie wana Jf.
 
Hakika, hakuna cha maana chochote wanachofanya, waache tu yafike elfu10 kwa lita moja...
 
Hili jambo nililiona jana, nikaingia kule kwenye market kuona live price, ya juu kabisa kwa wakati ule ikawa $99.4

Pengine ni muda wa nchi/TRA kutuvunjia kodi inayokusanywa kwa mwezi ili tujue wapi panatubeba.

1. Paye -
2.
3.
.
.
.

Bandarini hakuna makusanyo yoyote ni janjajanja TRA inategemea sana kwenye Provisional Assessment kama utakaguliwa utalimbikiziwa madeni utalipa ndo TRA wanapata hela. Kwenye VAT nako wanategemea ila bado kuna janja janja nyingi watu hawalipi VAT mfano unakuta mimi na wewe tunafanya biashara moja ya electronics mimi na VAT wewe huna bei ya TV hatuwezi uza sawa lazma wewe ushushe na mimi nipandishe ili kufidia VAT kwa ishu kama hii nani yuko tayar kulipa VAT?

Mwenyewe hapa silipagi VAT huwa nafile repayment hii nchi ukijifanya pasta utaishia kufanyia biashara TRA. TRA wakubali kukaa na wafanyabiashara ili tuwape ukweli wakijifanya wana forces basi wajue wafanyabiashara tunaakili kushinda wao, tunambinu kama za Russia kwenye vita.
 
ni tatizo la kuwa na viongozi ambao hawaumizi vichwa kutafuta suluhu ya changamoto za kiuchumi hususani wizara ya uchumi.
sasa ngoja mzungu alete gari za umeme ambazo hazitumii mafuta,watawa hawajuwi
 
Okay
 
Proffesorior rubbish!
 
Serikali inajichanganya katika hili! Ukifuatilia sababu za bei ya mafuta kupanda mojawapo ni mabadiliko ya sera za Kodi..!! Haya mabadiliko vyovyote iwavyo vile yatamwathiri mlaji wa mwisho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…