lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Nchi hii itakombolewa na watanzania wenyewe.
Hakuna mwanasiasa mwenye Nia ya kuwasaidia watanzania. Angalia CCM wanasemaje kuhusu mafuta kimya ???
Angalia ACT? Wote kimya!
Kipindi cha Magufuli Zitto kabwe angekuwa ameshamrushia vijembe Ila Leo Zitto na yeye analamba asali.
Watanzania haki zenu mtazipata kwakutumia mikono yenu.
Natamani mafuta yafike Lita shilingi 13,500 ili tujue haki zetu.