Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

Tumechoka kusikia kelele za CHADEMA

Kwahiyo unahita
CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.

Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
ji wachukue mawe, mapanga na visu ndio uone wako serious?
 
Hawa watu Kila kukicha wanatengeneza drama za uongo ili watu wajue kuwa wapi kumbe wanasambaratika.mmetuchosha kauzeni mitumba
 
Sema mwenye kisu kikali ndo anakula nyama,kwani ni wangapi wagombea wa CCM hawakuwa na vigezo na wameachwa tu.

Mbaya zaidi kuna mgombea kwenye tarehe ya kuzaliwa ameandika kazaliwa 2024 na anapeta tu

Lakini kuna wagombea wa CHADEMA walikuwa na vigezo vyote na wamemwagwa
Ina maana hii nchi sio ya wote ni ya CCM?
 
Alafu tatizo kingine MAHAKAMA,POLISI na TUME YA UCHAGUZI,wapo upande wa chama kimoja
Sasa kuna maana gani ya kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini.

Kama uchaguzi huu tu mdogo figisu debe je uchaguzi mkuu itakuwaje?

Kama hawataki battle wavifute vyama vyote vya upinzani wabaki wenyewe.
 
CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.

Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Basi sikiliza zile za wezi wenzio
 
Nikuulize swali: Walipoitisha maandamano ulikwenda ?
Uliwahimiza /wahamasisha wangapi kwenda kwenye maandamano?

Now propose wafanyeje, wape la kufanya. If it were you, a Chadema authority for that matter, what would you have done in this situation of Tanzania brutal police and government!?
Viongozi wa juu wote watoke waachie wengine wenye uwezo na ushawishi kwa jamii iliwakiita maandamano wananchi waitikie wito.
 
Badala wakinukishe wamekaa kulalama tu.
Mkuu,
Hayo huanza na wananchi wenyewe wakisha kuwa tayari, kwa Tanzania bado.

Kwa mfano pale Kenya watawala hawawezi kwenda kumkamata Odinga kirahisi kwa kuhofia reaction ya wananchi.

Ila mbuyu huanza kama mchicha. Uonevu ukikithiri mno ndo hupelekea wananchi kuwa radicalised. Kwa Tanzania safari ya kuelelekea huko ilishaanza na inazidi kuchochewa na ccm kila uchwao. Ni suala la muda tu
 
Viongozi wa juu wote watoke waachie wengine wenye uwezo na ushawishi kwa jamii iliwakiita maandamano wananchi waitikie wito.
Siyo kweli,
Hata sasa wananchi huitikia sana tu, tatizo ni vitisho vya watawala na policcm
 
Mkuu,
Hayo huanza na wananchi wenyewe wakisha kuwa tayari, kwa Tanzania bado.

Kwa mfano pale Kenya watawala hawawezi kwenda kumkamata Odinga kirahisi kwa kuhofia reaction ya wananchi.

Ila mbuyu huanza kama mchicha. Uonevu ukikithiri mno ndo hupelekea wananchi kuwa radicalised. Kwa Tanzania safari ya kuelelekea huko ilishaanza na inazidi kuchochewa na ccm kila uchwao. Ni suala la muda tu

Wananchi huongozwa, Ukiwa kiongozi wa kisiasa wa chama kikubwa cha upinzani na huwezi kuingiza watu milioni moja barabarani basi ujue wewe ndo huaminiki na wala siyo kosa la wananchi
 
Ningeona chadema ni tishio na wabaya kama wao ndio chanzo cha;
1.ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo
2.Mazingira mbaya na magumu ya biashara
3.Uchumi wa nchi kudorora(je tunauza kiasi gani nje ya nchi? je tumekopa kiasi gani huko nje?)
4.Ubadhirifu na ufisadi
5.Ubabaishaji kwenye utoaji huduma za kijamii, elimu Afya, maji, umeme,nk
6.kushindwa kusimamia miradi mikubwa, Bwawa la umeme, SGR, Mwendokasi, Airports, Stendi za mabasi, nk
7.Ongezea na wewe

Kwamba hata baada ya ccm kushinda chaguzi zote zilizopita na zijazo tena kwa kishindo, hata Mungu anapendezwa nazo.
Je manufaa ya chama hiki kushinda ni nini?
 
gentleman,
umeeleza ukweli mtupu tena kwa hisia kali mno. wanapiga moyowe hadi wanaikera jamii 👊
Kwanini hamko tayari kwa ushindani wa uchaguzi? Kila kitu mnakimiliki nyinyi lakni bado mnawaengua wapinzani bila ya sababu ya msingi kwa sababu mnajua bila ya hivyo hamtoboi.

Angalia huyo ni mwanaccm alichokifanya nikipi ambacho mnakilalamikia kwa wapinzani?
20241109_130506.jpg
 
Umechoka we Nani mbona unachanganya watu?
 
CHADEMA ebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya,acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwenye Wagombea wa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Unakuta wana CHADEMA mtaa mzima wamekusanyika wanalia kama watoto wadogo eti wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uongozi wa serikali za mitaa/Vijiji. Mbaya zaidi, WANAUME wazima wanalia eti Afisa mtendaji mmoja tu amewaengua CHADEMA karibu wote.

Nimesema mara kadhaa, kama mmeshindwa kaeni kimya, inawezekanaje watu wazima anawaliza mtu mmoja tu, na ninyi bila aibu mnabaki kulia lia eti mmeenguliwa. CHADEMA, huo ni utoto.
Umechoka wee nani, mbona huchoki kelele za ccm
 
kwani leo ndiyo umejuwa kuwa chadema wana utoto? wanapenda kuhurumiwa kama watoto waati nguvu wanazo mtu mmoja anawashinda rudisheni ajina kwenye karatasi
 
Haki huwa inapiganiwa. Haki haiji kirahisi rahisi hivyo.
Sisi huku kwetu hakuna aliyekatwa hata mmoja. Tuliwaambia kabla, wakati na baada ya kuchukua fomu kuwa, atakayethubutu kutuhujumu katika zoezi hili, awe tayari kutafuta Nchi ya kuishi kwa sababu Nchi hii itakuwa imemshinda.
Tuliendelea kuwakumbusha kwa kauli hii.
Kuna mmoja alijaribu kujichanganya tukamchanganya kisawa sawa. Baada ya hapo wengine wote wakashika adabu.
Hakuna mtu hata mmoja aliyekatwa.
Wakati mwingine DAWA YA MOTO NI MOTO.
hiyo ndiyo dawa sasa hawa wanakaa kimamamama
 
Siyo kweli,
Hata sasa wananchi huitikia sana tu, tatizo ni vitisho vya watawala na policcm
Unaitikia vipi wakati hamuonekani barabarani? Upo Tanzania ukiandamana ni lazima upambane na Polisi sasa sijui wewe ni mgeni Nchi hii. Mbona NCCR na CUF walikuwa wanaitikia wito na vitisho vilikuwepo. Narudia viongozi wabadilishwe.
 
Back
Top Bottom