TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

Kwa hakika itungwe sheria kali ,elimu ya kutegemea mtu mmoja aamue yupi ni mtaalamu wa taifa hili katika nyanja fulani ni vema ife kabisa kila mtu apatikane kwa uwezo wake stahiki , wa kufeli afeli na wa kufaulu afaulu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ukiangalia vizuri vyuo karibu vyote vina namna ya kudeal na matatizo kama hayo vizuri sana, tatizo watu hawafanyi kazi zao inavyotakiwa na wanafunzi wengi hawajui haki zao, wanafunzi wangeanza kuelimisha haki zao kutokana na walimu washenzi kama wapenda ngono au lectures wanaotoa false grades
 
Kuwe na sheria kabisa, hadi sasa haya mambo sana sana yapo kwenye by laws za vyuoni tu, wanaozisimamia unakuta ni ma lecturers hao hao ama marafiki zao, uchafu unafagiliwq chini ya kapeti, adhabu inakuwa ni kuhamishwa tawi ama kusimamishwa kwa miezi isiyozidi sita, huu ni ujinga tu wala si suluhisho,

Wapigwe pingu, waende gerezani miaka 10,

Kwa hali hii ndio maana wanasemaga usipeleke mke kusoma chuoni, hebu vuta picha tu mke unaetaka kumsomesha hata form 4 tu ana division 4 ama 3 ya kuchechemea, ni dhahiri kabisa huyo hata chuoni umewapelekea chakula lecturers, wakimtaka yani ni kumpunguzia maksi 5 tu kashafeli inabidi atoe tu huo mzigo ili apitishwe.
 
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.

Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.

Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?

Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.

hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,

Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.

Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.

Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.

Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.

Suluhisho.

Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.

Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.

Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,

Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.

Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
Have u ever thought bout girls wanaosumbua walimu/waadhiri vyuoni?
 
Huu uzi unanikumbusha machungu mengi na majanga niliyopitia chuoni, baada ya kutoka kimapenzi na classmate ambae Lecturer alikua anamsalandia. Nikae kimya tu.
 
Wanaingia tamaa kuwatega kwasababu wanajua hao lecturers ndio wenye maksi, mwanafunzi wa kike akijua anafeli anaingia tamaa ya kutumia mbinu yoyote kufaulu ikiwemo kumtega lecturer, hii ni zaidi ya kuingia na nondo darasani.

Kuwe na sheria za ku ban mahusiano kati ya lecturers na wanafunzi kama ilivyo kwa nchi nyingine
Huna point. Kwana sasa hivi sheria inaruhusu? Halafu wakati mwingine haya huwa ni maneno tu ya watu waliofanya vibaya kusingizia kuwa lecturer amanifelisha.

Hawa watoto wana vituko...ukisikiliza upande wa ma lecturer wakuambie vituko vya hawa wanafunzi wa kike utashangaa
 
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.

Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.

Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?

Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.

hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,

Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.

Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.

Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.

Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.

Suluhisho.

Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.

Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.

Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,

Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.

Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
How wote ni watu wazima
Wanakubaliana
 
Dawa yao ni kuumizana kitamaduni.
Kuna lecturer wetu mmoja alikua anafaidi pisi flani hiv ya msela, baadae akaja kumstukia huyo msela wanachovya shimo moja. Lecturer akaanza kumuekea jamaa kiwingu, mwamba kaisoma degree anaenda mwaka wa 5 akasema huu ujinga, akaemda bush kwao. Mwamba hakulaza dam kilingeni lecturer akapigwa kipapai.
Huku na huku mzee wa watu haoni mbele, anaeza kaa mwez fresh af miez 2 mbele hali tete. Ikabd aende kwenye kisomo, maustaadh wakamchana tu kuwa hapa kuna nguvu ya utamaduni. Ikabd amtafte jamaa wayamalize.
After hapo mika iliofuata jamaa alikua anatoa pepa kama ya primary kila mtu aende
 
Lecturer atamfelishaje Kama uwezo anao?

Kwani hicho chuo hakina bodi ya rufaa scipt ikasahihishwe na lecturer mwngine?

ASILIMIA kubwa
Ya wanaogongwa na lecturer Ni wale mabinti vilaza, afu huwa wanajilengesha wenyewe ili waliwe.
Exactly [emoji817] vitoto vimalaya Malaya ndo vinajilengesha viliwe afu Nye Nye Nye...
Waambieni vibinti viache umalaya vyuoni pale law school pale marafiki zangu watatu pisi kaali wadada wa mjini wamesoma n wamefaulu hawajahi Hata kutongozwa kwa kua Wana akili zao binafsi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wale vipanga mara nyingi uwezo wao unajulikana na kila mtu, lecturer akijaribu kumletea pigo sizo anaweza kujitetea hata kwa matokeo ya masomo mengine na ikaonekana kweli lecturer ni mhuni, ndio maana huwa huwa hawasumbuliwi hao.

Wanaofatwa mara nyingi ni hawa uwezo wa kawaida na wale wa chini
Usiseme uwezo wa kawaida, Sema vilaza
Binti anayejitambua hawez kuvua chupi kisa matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom