Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Ukiangalia vizuri vyuo karibu vyote vina namna ya kudeal na matatizo kama hayo vizuri sana, tatizo watu hawafanyi kazi zao inavyotakiwa na wanafunzi wengi hawajui haki zao, wanafunzi wangeanza kuelimisha haki zao kutokana na walimu washenzi kama wapenda ngono au lectures wanaotoa false gradesKwa hakika itungwe sheria kali ,elimu ya kutegemea mtu mmoja aamue yupi ni mtaalamu wa taifa hili katika nyanja fulani ni vema ife kabisa kila mtu apatikane kwa uwezo wake stahiki , wa kufeli afeli na wa kufaulu afaulu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuwe na sheria kabisa, hadi sasa haya mambo sana sana yapo kwenye by laws za vyuoni tu, wanaozisimamia unakuta ni ma lecturers hao hao ama marafiki zao, uchafu unafagiliwq chini ya kapeti, adhabu inakuwa ni kuhamishwa tawi ama kusimamishwa kwa miezi isiyozidi sita, huu ni ujinga tu wala si suluhisho,Ukiangalia vizuri vyuo karibu vyote vina namna ya kudeal na matatizo kama hayo vizuri sana, tatizo watu hawafanyi kazi zao inavyotakiwa na wanafunzi wengi hawajui haki zao, wanafunzi wangeanza kuelimisha haki zao kutokana na walimu washenzi kama wapenda ngono au lectures wanaotoa false grades
Kuwa serious kidogo, sio kila kitu lazima uchangieUtakuwa umegongewa dem wako!
Wanaogongwa huwa wameonesha dalili za kuliwa wao kwanza, sasa mimi ni nani nisimtindue?
Have u ever thought bout girls wanaosumbua walimu/waadhiri vyuoni?Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.
Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.
Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?
Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.
hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,
Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.
Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.
Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.
Suluhisho.
Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.
Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.
Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,
Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.
Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
TrueLecturer atamfelishaje Kama uwezo anao?
Kwani hicho chuo hakina bodi ya rufaa scipt ikasahihishwe na lecturer mwngine?
ASILIMIA kubwa
Ya wanaogongwa na lecturer Ni wale mabinti vilaza, afu huwa wanajilengesha wenyewe ili waliwe.
Wanafaidi mpaka nawaonea gerehawabakwi, anapanua kwa ridhaa yake mwenyewe kutaka A-plus ya fasta-fasta
maprof wa UdBS wanafaidi sana, siyo kwa totoz kali zile
Huna point. Kwana sasa hivi sheria inaruhusu? Halafu wakati mwingine haya huwa ni maneno tu ya watu waliofanya vibaya kusingizia kuwa lecturer amanifelisha.Wanaingia tamaa kuwatega kwasababu wanajua hao lecturers ndio wenye maksi, mwanafunzi wa kike akijua anafeli anaingia tamaa ya kutumia mbinu yoyote kufaulu ikiwemo kumtega lecturer, hii ni zaidi ya kuingia na nondo darasani.
Kuwe na sheria za ku ban mahusiano kati ya lecturers na wanafunzi kama ilivyo kwa nchi nyingine
How wote ni watu wazimaKwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.
Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.
Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?
Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.
hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,
Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.
Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.
Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.
Suluhisho.
Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.
Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.
Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,
Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.
Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
Exactly [emoji817] vitoto vimalaya Malaya ndo vinajilengesha viliwe afu Nye Nye Nye...Lecturer atamfelishaje Kama uwezo anao?
Kwani hicho chuo hakina bodi ya rufaa scipt ikasahihishwe na lecturer mwngine?
ASILIMIA kubwa
Ya wanaogongwa na lecturer Ni wale mabinti vilaza, afu huwa wanajilengesha wenyewe ili waliwe.
Usiseme uwezo wa kawaida, Sema vilazaWale vipanga mara nyingi uwezo wao unajulikana na kila mtu, lecturer akijaribu kumletea pigo sizo anaweza kujitetea hata kwa matokeo ya masomo mengine na ikaonekana kweli lecturer ni mhuni, ndio maana huwa huwa hawasumbuliwi hao.
Wanaofatwa mara nyingi ni hawa uwezo wa kawaida na wale wa chini
Vitoto mda wote vinadanga TU mjini,Watoto wenu ndio huwatega wahadhili
Hapa tukubaliane Ni maadili mabovu tu mabinti wenyewe, waadhiri wasialaumiwehawabakwi, anapanua kwa ridhaa yake mwenyewe kutaka A-plus ya fasta-fasta
maprof wa UdBS wanafaidi sana, siyo kwa totoz kali zile
Kuna lecture alikuwa aanatufundisha farm machine,alikuwa anasema bila kuvua chup kilanza hawezi toboa kwny somo lake.Usiseme uwezo wa kawaida, Sema vilaza
Binti anayejitambua hawez kuvua chupi kisa matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app