Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
You nailed it broVitoto mda wote vinadanga TU mjini,
MDA wa kusoma mpk kufaulu utapatikana wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
SanaUzi muhimu kuwahi kutokea
Kumbe mkuu umesoma pharmacology sasa mbona gonorrhea ilikusumbua sana??Nilisoma na manzi yangu. Iq yake ilikua Ni average ila sio mbovu Sana pharmacology ilimsumbua Sana mpaka lecture aliomba rushwa ya pesa au rushwa ya ngono ili amsaidie tulitoa pesa
[emoji3][emoji3]
Na kwenye haya maisha binti akizoea kutoa rushwa ya ngono ili apate anachostahili basi hawezi kuacha hadi uzeeni. Maana hii ni rushwa kama rushwa nyingine, na wakiizoea wanakuwa addicted!Lecturer atamfelishaje Kama uwezo anao?
Kwani hicho chuo hakina bodi ya rufaa scipt ikasahihishwe na lecturer mwngine?
ASILIMIA kubwa
Ya wanaogongwa na lecturer Ni wale mabinti vilaza, afu huwa wanajilengesha wenyewe ili waliwe.
Tuache ufala kama huna Hela kaaa kimya tafuta madent wa chuo wako wengi wanazaliwa kila siku, wanawake na wanaume wapo Kwa ajili ya matumizi, kila mtenda dhambi ana mtego wake, kama hataki mshauri aweke mtego huyo mtu akamatwe narudia tena simu janja zitumike ipasavyo Acheni Tanta tantalila za kishamba, mnunulie hata mini camera ya kwenye begi au mfuko wa shati.Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.
Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.
Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?
Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.
hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,
Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.
Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.
Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.
Suluhisho.
Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.
Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.
Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,
Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.
Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
Kama huna akili lazima utamuona kama Mungu, ila kama akili zipo hawezi kuonea maana utaandika kielewekachoMa-lecture wamepewa tuseme ni kama umungu flani hivi, Yani degree yako ipo mikononi mwa mtu hii ni hatari sana
Na wanafunzi vilaza je?Wazo zuri maana ni hatari kukabidhi taifa mikononi mwa ma-lecture wazinzi
Hivi hawa wasichana huwa wanakwenda Chuo bila ya kuwa na qualifications? Maana inakuwaje yeye amepata qualifications za kuingia chuo lakini anapofika chuo anapata brain fog na hawezi kuendelea na masomo?Lecturer atamfelishaje Kama uwezo anao?
Kwani hicho chuo hakina bodi ya rufaa scipt ikasahihishwe na lecturer mwngine?
ASILIMIA kubwa
Ya wanaogongwa na lecturer Ni wale mabinti vilaza, afu huwa wanajilengesha wenyewe ili waliwe.
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.
Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.
Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?
Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.
hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,
Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.
Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.
Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.
Suluhisho.
Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.
Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.
Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,
Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.
Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
Wanaingia tamaa kuwatega kwasababu wanajua hao lecturers ndio wenye maksi, mwanafunzi wa kike akijua anafeli anaingia tamaa ya kutumia mbinu yoyote kufaulu ikiwemo kumtega lecturer, hii ni zaidi ya kuingia na nondo darasani.
Kuwe na sheria za ku ban mahusiano kati ya lecturers na wanafunzi kama ilivyo kwa nchi nyingine
Bosi anaelipa mshahara akimuomba mfanyakazi wake amnunulie kitu flani kwa mshahara anaomlipa, huyo mfanyakazi akikubali ni kwa rihaa yake ?
Hebu jaribu kutumia kili please, wanafunzi wanajua kabisa wakikataa hao ma lecturer wanalipiza visasi kwa kuwafelisha,
Fatilia yule ;ecturer wa udom aliekuwa anafelisha maksudi ili atafune wanafunzi wake, video ilivuja kabisa kafumaniwa na mwanafunzi wake. Kuna mwengine wa chuo cha uhasibu pia video zake zilivuja anakula mzigo wa mwanafunzi kwa ahadi ya marks.
Ma-lecture wamepewa tuseme ni kama umungu flani hivi, Yani degree yako ipo mikononi mwa mtu hii ni hatari sana