I saw this strip off of rights as hosts coming a while back and i fully agree with you.Kind of gives me a bittersweet relief actually.actually, tungepata aibu kubwa sana..our stadiums are in terrible condition....wacha tu iende...nyayo stadium, kinoru, kipchoge eldoret sasa hizo ni stadium?? smh...we have idiots as leaders
Kenya football federation is a rotten apple, hata mkichagua malaika awe rais wa kadanda mawazo yatakua yale yale ya Nyamweya na Nick Mwandwa
Hahahahahahaaaaaa. Umenichekesha sanaKwani sie watu wa mpira kihivyoo...
hata wasipoleta sie twatazama tu ungeleza pilimia ligi na la liga kwa ali kilasiko'
Uwanja upokenya hakuna stadiums kabisa...haya magofu kama kasarani,nyayo na huo uchafu wote mwingine heri uvunjiliwe mbali....tukijengewa kama miaka hamsini au mia ijayo ndio tufikirie tena kuhost chan
unaonaje sasa tz wakachangamkia hio fursa cz naskia country zimeanza kubid upya ili wahost?sisi tushachemsha ukuUwanja upo
mgeomba kushirkiana na Tanzania
Saa zingine Kenya tunakuanga na ujinga sanaRwanda waliweza kuandaa CHAN!! Middle income mnashindwaje..?! Shame on you