Hujui lolote kuhusu Greenfield project, huu ni mradi uliofutiliwa mbali baada ya rais Uhuru kuuzindua kwa mbwembwe na hotuba nzurinzuri na Raila akiwepo na kutoa hotuba, kandarasi ilishatolewa kwa wachina na kazi ilishaanza, ukosefu wa pesa ndiyo ukasababisha rais kusimamisha hiyo kazi na mkandarasi akapeleka malalamiko mahakamani, rais akasema baadae hakuna sababu ya kupoteza pesa nyingi kwa sababu uwezo wa uwanja uliopo unatosha, unaweza kuangalia kwenye youtube sherehe za kuzindua ujenzi, na baadae google uangalie sababu za huo mradi kufutwa, sio kuahirishwa kama mlivyoahirisha kusafirisha mafuta kwa barabara, kule ndiyo kuahirishwa, sawa na ujenzi wa Bagamoyo, kumeahirishwa ili kupanua bandari zilizopo kwanza