saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
and what is the rzn yakutunyanganya kama unajua?Inakuaga hivi.. ukipeleka maombi yako una identify viwanja utakavyo tumia na maeneo vilipo. Application inakua na details nyingi kma capacity ya hivyo viwanja, accomodation na transportation ya host cities/towns bila kusahau a letter kutoka ministry of sports kuonesha Government support ya bid. Sasa ndugu zangu nyinyi hamjawahi ku fail kwenye makaratasi [emoji1] !! Ndyo maana nchi zinapewa muda mrefu ili kma hawako vizuri wataonekana tu.