Tumedhulumiwa jamani, CHAN 2018 yanyang'anywa Kenya!

kenya hakuna stadiums kabisa...haya magofu kama kasarani,nyayo na huo uchafu wote mwingine heri uvunjiliwe mbali....tukijengewa kama miaka hamsini au mia ijayo ndio tufikirie tena kuhost chan
Tatizo la Kenya ni kutojitambua, kutojua uwezo wake unaishia wapo, kudhani wanaweza kila kitu, hata kwenye miradi mingi ya maendeleo inayofanyika na inayotegemea kufanyika, maamuzi yake yalichukuliwa juu juu bila kuangalia mbele zaidi, mingi itaishia kama huu, too proud unnecessarily
Saa zingine Kenya tunakuanga na ujinga sana
 
Saa zingine Kenya tunakuanga na ujinga sana
Bora msinge fanya maombi!! It only takes not less than 3 CAF certified stadiums.. imagine Dar es salaam peke yake kuna 3 stadiums ambazo zina qualify!! yani ni aibu sana..
 
i think unapelekwa na mihemko zaidi bila kuangalia mambo kiundani...mradi gani ulianza ukaachiwa katikati ndio unasema utaishia kama huu??..hii ni mambo ya politics na late preparations kutoka kwa hao kina nick mwenda..sasa ya uwezo yametokea wapi apa?
 
Green field terminal project, kusomba mafuta ghafi kwa barabara, BOmba la mafuta ghafi toka Lokachiar mpaka Lamu...................
 
unaonaje sasa tz wakachangamkia hio fursa cz naskia country zimeanza kubid upya ili wahost?sisi tushachemsha uku
Sisi wenyewe uwqnja wa maana si mmoja tu,,, hiyo ligi viwanja tunavyochezea kama upo kwenye lunch ya mifugi
 
Green field terminal project, kusomba mafuta ghafi kwa barabara, BOmba la mafuta ghafi toka Lokachiar mpaka Lamu...................
siunaona sasa vile unakurupuka....greenfield ilikuwa shelved wakaamua wataexpand jkia instead kama vile nyinyi mlivyoacha bagamoyo port na sisi tunajenga lamu port,aliye kwambia ilianza ikakwama nnan?na hilo bomba halijaanza kujengwa unasema lisha kwama..kuwa mpole boss cz unapaint picha kama mko perfect sana
 
Sisi wenyewe uwqnja wa maana si mmoja tu,,, hiyo ligi viwanja tunavyochezea kama upo kwenye lunch ya mifugi
kisha mna afadhali ndugu..huku kwetu ndio kinyaa chenyewe.tumengoja stadium 5 mpya kutoka kwa raisi hadi tumechoka
 
Uwezo una ingia sana.. kwa mfano waki wanyang'anya wana tafuta nchi nyingine ambayo ina uwezo tayari e.g SA, Moroc, etc. Issue kwenu siyo Hotels, transportation, wala political will tatizo ni Viwanja tu! Mnasemaga TZ mmetuzidi. Ila Tz haijawah kuomba ku host hivyo vtu kabla ya mwaka juzi. Ila as we speak TZ kuna viwanja vitano vinavyo tambuliwa na CAF na vina host international matches.

Kwahiyo leo kama TFF na serikali wakafanya maombi ku host hyo CHAN wakaguzi wakija watakuja kunywa chai tu!! [emoji1]
 
Hujui lolote kuhusu Greenfield project, huu ni mradi uliofutiliwa mbali baada ya rais Uhuru kuuzindua kwa mbwembwe na hotuba nzurinzuri na Raila akiwepo na kutoa hotuba, kandarasi ilishatolewa kwa wachina na kazi ilishaanza, ukosefu wa pesa ndiyo ukasababisha rais kusimamisha hiyo kazi na mkandarasi akapeleka malalamiko mahakamani, rais akasema baadae hakuna sababu ya kupoteza pesa nyingi kwa sababu uwezo wa uwanja uliopo unatosha, unaweza kuangalia kwenye youtube sherehe za kuzindua ujenzi, na baadae google uangalie sababu za huo mradi kufutwa, sio kuahirishwa kama mlivyoahirisha kusafirisha mafuta kwa barabara, kule ndiyo kuahirishwa, sawa na ujenzi wa Bagamoyo, kumeahirishwa ili kupanua bandari zilizopo kwanza
 
i think pia wewe hujafatilia hili sakata ukajua nni sababu ya hao kupeleka huko kutupokonya??kama hatukua na uwezo kwa nini watupee hiyo chance in the first place?? anyway isiwe issue mko poa so mnaeza host pia
 
what the hell is wrong with you?nani amesema uliahirishwa..kuzindua na kuwapa wachina kandarasi haimaanishi ujenzi ulikuwa umeanza.unaeza leta thibitisho lolote la wachina kuwa site wakijenga au utuonyeshe hayo magofu yalioachwa?
 
Ninamaana kwamba, nchi ilipanga mradi na kufikia hatua za rais kuzindua ujenzi wake, ghafla mradi unafutiliwa mbali, hiyo ndiyo nilitaka kuonyesha kwamba Kenya hawajui nini wanaweza kufanya kwa wakati gani, hawatambui uwezo na vipaumbele vyake, tumeanzia kufutwa kwa mashindano ya CHAN, acha kurukaruka.
 
what the hell is wrong with you?nani amesema uliahirishwa..kuzindua na kuwapa wachina kandarasi haimaanishi ujenzi ulikuwa umeanza.unaeza leta thibitisho lolote la wachina kuwa site wakijenga au utuonyeshe hayo magofu yalioachwa?
wacha ujinga wewe jina lako haliendani ni povu unalotoa...ulipaswa uitwe Mwangi kuna thread humu JF ya greenfield airport.
 
naona unaushabiki tu ili uonyeshe mko perfect sana.....things changes so I dont see any anything wrong with us cancelling a certain project in favour of another one.bagamoyo is the same case so i dont get why you are so worked up when the same shit happens in your own backyard
 
wacha ujinga wewe jina lako haliendani ni povu unalotoa...ulipaswa uitwe Mwangi kuna thread humu JF ya greenfield airport.
na nikitu gani chenye nimesema hakikosawa?au nmekosea kusema waliachana na greenfield wakaamua wadeal tu na jkia?
 
i think pia wewe hujafatilia hili sakata ukajua nni sababu ya hao kupeleka huko kutupokonya??kama hatukua na uwezo kwa nini watupee hiyo chance in the first place?? anyway isiwe issue mko poa so mnaeza host pia
Inakuaga hivi.. ukipeleka maombi yako una identify viwanja utakavyo tumia na maeneo vilipo. Application inakua na details nyingi kma capacity ya hivyo viwanja, accomodation na transportation ya host cities/towns bila kusahau a letter kutoka ministry of sports kuonesha Government support ya bid. Sasa ndugu zangu nyinyi hamjawahi ku fail kwenye makaratasi [emoji1] !! Ndyo maana nchi zinapewa muda mrefu ili kma hawako vizuri wataonekana tu.
 
Sasa nadhani unaelewa taratibu, kubali kwamba mambo mengi Kenya inakurupuka katika maamuzi bila kujua uwezo wa nchi na umuhimu wake katika nchi, itawezekanaje mtumie pesa, nguvu na muda mwingi kuomba kuwa wenyeji wa CHAN bila kujua kama mna uwezo wa kuandaa, ona sasa mnadhalilika bila sababu za msingi, tatizo ni kujikweza kusikokua na mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…