Tumedhulumiwa jamani, CHAN 2018 yanyang'anywa Kenya!

and what is the rzn yakutunyanganya kama unajua?
 
Halafu Rwanda ndo wamewa-replace!
 
jesus christ...tatizo ni pace ya matayarisho sio hayo unayofikiria wewe...hii nayo ni ngumu kuelewa au unapindisha tu issue ili ujifurahishe??? mbona iko simple sana hii..they were okay with kasarani,nyayo na hiyo backup ya machakos..hizo zingine ndio zilikuwa behind schedule then came the political tempararute .....kuna lingine au wewe ndio official una rzns zako pia
 
Mwisho wa siku Kenya imeshindwa kuandaa na imenyang'anywa na kupewa taifa lingine, acha maneno mengi, kushindwa ni kushindwa tu, mbona hamuishiwi sababu?, mkiwa na njaa, mnatoa sababu, mkiwa na tatizo la ukabila, mnatoa sababu, mkiwa na insecurity mnasingizia alshabaab, acheni hizo, nilazima muanze kujitambua, mkubali mapungufu yenu, muanze kuyatafutia ufumbuzi. Tatizo kubwa la Kenya ni kujiona wana uwezo mkubwa wa kufanya mambo kuliko uwezo halisia wa nchi
 
Halafu Rwanda ndo wamewa-replace!
 
naona huna hoja mr perfect haya tuambie nawewe kilichofanya muachane na bagamoyo ni kipi kama nyinyi mko na mipangilia sawasawa na mnaenda na uwezo wenu?
 
Acha hizo mkuu.. Inspection team ya CAF imesema uwanja mmoja tu ndiyo ulikua na vigezo. Viwanja vingine vyote vilihitaji marekebisho makubwa. Sasa ww hivyo viwanja vitatu umevipitisha mwenyewe!! Kuna mdau amesema muwe realistic siyo kila kitu mnajifanya mnaweza. Hapa uwe mpole tu mmeshikwa pabaya.
 
naona huna hoja mr perfect haya tuambie nawewe kilichofanya muachane na bagamoyo ni kipi kama nyinyi mko na mipangilia sawasawa na mnaenda na uwezo wenu?
Swali zuri sana, kaa vizuri nikujuze. Mradi wa Bagamoyo umeahirishwa na haujafutwa kama ulivyofutwa wa Greenfield project, kwa sasa shughuli za kuwalipa watu mashamba yao na kusafisha eneo zinaendelea kwa sababu hilo ni jukumu la serikali, mkopo hautohusika kulipia fidia. Mradi huu uliasisiwa na Kikwete na kandarasi nyingi zilitolewa kipindi chake, alipoingia Magufuli aliona ni bora ausimamishe ili;
1)Apate muda aweze kupitia na kujiridhisha kama kweli pesa iliyopangwa inaendana na mradi wenyewe(Mzee wa kubana matumizi)
2)Kama tenda zilizotolewa zina harufu ya rushwa
3)kupanua bandari zilizopo ili kuboresha utendaji wa kazi
4)kuangalia uwezekano wa kupata mkopo wenye riba nafuu zaidi,(kama alivyokataa mkopo wa china katika mradi wa SGR)
 
Halafu Rwanda ndo wamewa-replace!
Kama kweli Rwanda wamepewa itakuwa ni aibu sana kwa majirani zetu hawa, hata wasipopewa Rwanda, tayari ni aibu na ninasikia Kenya itapata adhabu ya kulipa faini, na kufungiwa kutoshiri haya madhindani kwa miaka kadhaa
 
ushabiki wabure...kasarani was okay.nyayo was under repaire but the pace was okay..hizo mbili nyingine ndio zimeleta cz ziko behind schedule shida na machakos ilikuwa ya emergency tu haikuwa inafanyiwa lolote..kuna lingine
 
Sisi wenyewe uwqnja wa maana si mmoja tu,,, hiyo ligi viwanja tunavyochezea kama upo kwenye lunch ya mifugi
Huwezi amini we are better than many!! Nimefuatilia viwanja vya majirani zetu vinavyo tumika kwenye leagues zao ni aibu, ukienda west Africa ndiyo worse.. Try to be exposed siyo kujifungia kwenye ghetto lako.
 
Kaka hiyo ndiyo tabia ya wakenya, unnecessarily too proud, ungemsikia Charles Kater wakati ule wa kugombania bomba la mafuta alivyokua akisifia bandari ya Lamu vs Tanga, angekuwa huku kwetu Magufuli angelimfukuza kitambo sana, alikua akidanganya vitu vya wazi kabisa ambavyo hata goole vinapatikana, na wakenya walikuwa wakimuamini na kumuunga mkono, sababu kubwa ni kwamba, ukitaka upatane na wakenya, wewe wasifie kuanzia asubuhi hadi jioni, hata kama unawadanganya, wao poa tu.
 
Kama kweli Rwanda wamepewa itakuwa ni aibu sana kwa majirani zetu hawa, hata wasipopewa Rwanda, tayari ni aibu na ninasikia Kenya itapata adhabu ya kulipa faini, na kufungiwa kutoshiri haya madhindani kwa miaka kadhaa
Blogger Robert Alai Onyango kaandika
 
Hahaaa.. nakumbuka, Kater alikua anaropoka mambo ambayo hayapo. Ssa huyu jamaa ana insist viwanja viwili vilikua poa, i doubt kma amefanya ata jitihada za kuona hiyo report ya CAF. Yeye anajiambia maneno yanayo mfurahisha tu!!
 
hahaa...kadanganye wajinga.ati bagamoyo iliahirishwa na magufuli ndio achunguze kama kuna rushwa??hakukuwa na pesa na hiyo information iko kwa public
 
hahaa...kadanganye wajinga.ati bagamoyo iliahirishwa na magufuli ndio achunguze kama kuna rushwa??hakukuwa na pesa na hiyo information iko kwa public
Weka link au taarifa inayoonyesha Bagamoyo project imefutwa, mimi ninakuletea inayo support haya ninayokuambia, japo wakenya kama kawaida yenu kutokuwa na information mlidanganyana kwamba project imefutwa, mkajiliwaza,
 
ushabiki wabure...kasarani was okay.nyayo was under repaire but the pace was okay..hizo mbili nyingine ndio zimeleta cz ziko behind schedule shida na machakos ilikuwa ya emergency tu haikuwa inafanyiwa lolote..kuna lingine
You have just confirmed my point.. kiwanja kimoja tu ndyo kina vigezo. Hizo nyingine ni siasa zako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…