Tumedhulumiwa jamani, CHAN 2018 yanyang'anywa Kenya!

Weka link au taarifa inayoonyesha Bagamoyo project imefutwa, mimi ninakuletea inayo support haya ninayokuambia, japo wakenya kama kawaida yenu kutokuwa na information mlidanganyana kwamba project imefutwa, mkajiliwaza,
mimi sijui kama imeahirishwa ama imekua cancelled,what i know nikuwa whatever rzn it was, hii ya kusema walitaka kuchunguza mambo ya rushwa is not there, ni kukurupuka mlikurupuka tu bila mpango kuanzisha hii project..mngekua na pesa na sifa za magu saa ii ingekuwa imeisha
 
Hebu msihamishe mada kwa habari za bagamoyo!

It's about football guys.

Majirani mngeomba tuwasaidie kuficha hii aibu.

Tanzanian national stadium. The best stadium in East and Central Africa.
 
Nisaidie kushare hiyo link kwa wenzako tafadhali
unaona vile unajicontradict,,mnakurupuka kuanzisha kitu na hamna pesa za kujenga,,hiyo ndio inaitwa kujitakia makubwa zaidi ya uwezo wenu..mpaka sasa haijajulikana kama itaendelea au laa kwa sababu hamna pesa bado mnaomba omba
 
Mradi huu ulisainiwa na rais wa China alipondembelea Tanzania mara tu alipochaguliwa, pesa zimetolewa na Exim ya China na ile ya Uarabuni, mbona hata pesa ya SGR tulikua tumepata toka China ila uncle Magu akazikataa?, wewe unamjua huyu mtu au unamsikia?
 
sawa bana..nimechoka kubishana
 
unaona vile unajicontradict,,mnakurupuka kuanzisha kitu na hamna pesa za kujenga,,hiyo ndio inaitwa kujitakia makubwa zaidi ya uwezo wenu..mpaka sasa haijajulikana kama itaendelea au laa kwa sababu hamna pesa bado mnaomba omba
Mbona una matatizo ya kuelewa?, nimekuambia pesa ilishasainiwa tunasubiriwa sisi tukiwa tayari ziletwe, China Exim Bank and UAE exim bank, au unataka link?, Tanzania sio nchi ya kukurupuka kama Kenya
 
Mbona una matatizo ya kuelewa?, nimekuambia pesa ilishasainiwa tunasubiriwa sisi tukiwa tayari ziletwe, China Exim Bank and UAE exim bank, au unataka link?, Tanzania sio nchi ya kukurupuka kama Kenya
nmesema ivyo kwa sababu nimesoma hapo kwa hiyo link ukiyonipa...
“It all depends with the financial resources. If we get the funding soon the projects will run,” he said. The initial works for the construction of the Bagamoyo Port had already started after former President Jakaya Kikwete officially broke ground last October. Residents have also started being compensated and relocated to other areas to pave way for the project.

hapo walikuwa wanasema wanatafuta pesa bado so kuwa mpole...anyway..yaishe
 
Vipi kuhusu kubeba mafuta kwa barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…